Shangazi Naomba taiti yako.

Shangazi Naomba taiti yako.

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Daah huu wimbo wa jamuhuri jazz band unaniacha hoi sana hata nikiutafakari cpati maana yake.
Shangazi naomba taiti yako,
Nijipare nipende niende dance,
Sijui kesho ntarudi na mwenge ooh!
Shangazi naomba mabutu yako,
Nijipare nipendez niende dance,
Sijui kesho ntarudi na mwenge ooh,*2
NB:NAOMBA UWE MAALUMU KWA JEMBE LANGU DENA AMSI.nimekukumbuka sana ingawa ni cku ya pili leo.
 
Kokudo hii bendi ipo hapahapa bongo?
 
Back
Top Bottom