Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
My wife kweli ni mbaya,ila shangazi yangu nafikiri kafanya hivi baada ya kujua ya kuwa mie nampenda sana yeye. Nalog offDah! Shangazi yako ana mashauzi! Kiukweli hajafanya kitendo kizuri hata kama huyo mkeo anafanana na bundi asingeongea hayo maneno.
Bundi ni ndege mwenye sura mbaya,nasubiri kukuche ili nimwambie huu ushauri wako. Nalog offBundi ndio nini?
Mwambie shangazi, mbele ya wife, sababu zako za kumuoa mke wako maana hata kama nio mzuri sana wa sura lazima anatabia zilizo kupelekea kumuoa.
Nashukuru wajina wa dada yangu,kesho nitaongea na shangazi yangu ili amuombe msamaha my wife wangu asije akamwagiwa maji ya moto bure. Nalog offMambo mengine ni kufuga ubovu... yaonesha dhahiri shangazi yako sio mstaarab na wala hana simile.... Yaani kweli kabisa kaanza tu kutamka with confidence maneno hayo? Hajamtendea haki mkeo na anastahili amuombe msamaha Mkeo for yeye ndo naamini anashinda hapo home kuliko wewe na kutoa huduma za msingi kama chakula, usafi wa mahala pa kulala, usafi wa nguo za Shangzi mwenyewe na the like... Hapo naamini walau aweza legeza roho na kumvumilia huo mwezi ulobaki.... Washawasha nalog off!!
My wife kweli ni mbaya,ila shangazi yangu nafikiri kafanya hivi baada ya kujua ya kuwa mie nampenda sana yeye. Nalog off
Kweli kabisa. wanaume wengi wanatabia ya 'kufuga ubovu'. wakiona matatizo ya familia wanaamua kufanya kama hawajaona wanadhani wanaepuka lawama kumbe wangeweza kabisa kuleta suluhisho mapema. Fikiria matatizo ya mama wa kambo na watoto wa mume wake, wanafunga macho. tatizo za mtu na mkwe wake, wanafunga macho, mtu na wifi yake, wanafunga macho. mtoto wa kiume na housegirl wanafunga macho. Sasa washawasha umekutana na tatizo la shangazi na mke, fanyia kazi na uhakikishe kila mmoja anamheshimu mwenzie.Mambo mengine ni kufuga ubovu... yaonesha dhahiri shangazi yako sio mstaarab na wala hana simile.... Yaani kweli kabisa kaanza tu kutamka with confidence maneno hayo? Hajamtendea haki mkeo na anastahili amuombe msamaha Mkeo for yeye ndo naamini anashinda hapo home kuliko wewe na kutoa huduma za msingi kama chakula, usafi wa mahala pa kulala, usafi wa nguo za Shangzi mwenyewe na the like... Hapo naamini walau aweza legeza roho na kumvumilia huo mwezi ulobaki.... Washawasha nalog off!!
My wife kweli ni mbaya,ila shangazi yangu nafikiri kafanya hivi baada ya kujua ya kuwa mie nampenda sana yeye. Nalog off
Kweli kabisa. wanaume wengi wanatabia ya 'kufuga ubovu'. wakiona matatizo ya familia wanaamua kufanya kama hawajaona wanadhani wanaepuka lawama kumbe wangeweza kabisa kuleta suluhisho mapema. Fikiria matatizo ya mama wa kambo na watoto wa mume wake, wanafunga macho. tatizo za mtu na mkwe wake, wanafunga macho, mtu na wifi yake, wanafunga macho. mtoto wa kiume na housegirl wanafunga macho. Sasa washawasha umekutana na tatizo la shangazi na mke, fanyia kazi na uhakikishe kila mmoja anamheshimu mwenzie.
Kisura kwa kweli ni mbaya lengo langu ni kuogopa kuchukuliwa mke na mapedejee,lakini huyú kwasababu ni mbaya basi nagonga peke yangu. Nalog offDah!! Kama na wewe unakubali tena ni mbaya!! Mi sisemi tena....
Asante AshaDii kwa kunipongeza kwa avatar... nimeipenda sana maana imekaa realistic sana. mwanamke mcheshi, kajitandia kana maskini, na makeup yake imetulia... kweli nimeipenda, asante kwa kuipenda pia. Ila na mimi npenda sana hiyo yako kwa kweli... ngoja nitajaribu kuifunga hii kanga ikae hivo...Mwali IMO (kwanza niseme what a lovely choice of Avatar... mwali indeed!!) B2T ni kwmba narudia IMO, Sometimes it is better wanaume wanavojifanya hawajaona hasa kuhusu ugomvi kati ya mkewe na ndugu zake wa jinsia ya kike (awe mama ama dada) for hawa watu wana history ya loggerheading woote wakitaka kujiona ni bora kwa huyo mwanaume i.e Mke, mama na dada.... Wakisahau na kukosa ustaarabu kabisa kua what they are doing inamuumiza zaidi yule wanaedai wanahaki nae zaidi.... Nae mwanaume anabaki dilema, achague upande wa Mke?? Mama?? Dada??
Hata hivo inapokua imevuka mpaka kama hapa kwa Washawasha ni lazima aoneshe Msimamo na uanaume wake kwa kukemea palovuka.
Asante AshaDii kwa kunipongeza kwa avatar... nimeipenda sana maana imekaa realistic sana. mwanamke mcheshi, kajitandia kana maskini, na makeup yake imetulia... kweli nimeipenda, asante kwa kuipenda pia. Ila na mimi npenda sana hiyo yako kwa kweli... ngoja nitajaribu kuifunga hii kanga ikae hivo...
Nashukuru mwali kwa ushauri wako chanya,lazima shangazi yangu amuombe msamaha my wife wangu. Nalog offKweli kabisa. wanaume wengi wanatabia ya 'kufuga ubovu'. wakiona matatizo ya familia wanaamua kufanya kama hawajaona wanadhani wanaepuka lawama kumbe wangeweza kabisa kuleta suluhisho mapema. Fikiria matatizo ya mama wa kambo na watoto wa mume wake, wanafunga macho. tatizo za mtu na mkwe wake, wanafunga macho, mtu na wifi yake, wanafunga macho. mtoto wa kiume na housegirl wanafunga macho. Sasa washawasha umekutana na tatizo la shangazi na mke, fanyia kazi na uhakikishe kila mmoja anamheshimu mwenzie.
Hapana bibie, mie nampenda sana mke wangu,ìla ifikapo kesho ndio nitajua kwanini alisema vile bila staha. I love sana my wife wangu. Nalog offinaelekea haumkubali wife wako kama kitu chako haujivunii nacho ni ngumu kwa wengine kukiheshimu na kukikubali.