Shangilia Yamponza Mwanasoka wa DR Congo, yawezekana akafukuzwa Rwanda

Ndombe Mubele

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2019
Posts
242
Reaction score
529
Klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Imevhnja mkataba na Mshambuliaji wake Hatari Raia wa DR Congo Heritier Luvumbu Baada ya hapo Jana kufunga bao na kushangilia Kwa Staili ya kuziba mdomo na kuweka kidole kichwani kama Bastola Hivi

Hapo Jana katika mchezo wa ligi kuu ya Rwanda Kati ya Rayon Sport na Police FC Ilikuwa ni Dakika ya 53 Heritier Zinga Luvumbu alipiga Free Kick Kwa Mguu wa kushoto Kisha ikatinga Nyavuni Upande wa Kulia wa Golikipa wa Police FC Kisha Luvumbu akaenda kushangilia karibu na mashabiki Kwa Staili hii maarufu inayotumiwa na Wanasoka wa DR Congo

Hii Leo Klabu yake ya Rayon Sport Ikatangaza kuvunja mkataba na mchezaji huyo huku Ikisisitiza Haitaki Siasa

1707770875196.jpg

======

1707785832148.jpeg

Umuryango wa Rayon Sports witandukanyije n’imyitwarire mibi yagaragajwe n’umukinnyi wayo Héritier Luvumbu Nzinga ku mukino wa Shampiyona wahuje Rayon Sports na Police FC tariki 11 Gashyantare 2024 kuri Kigali Pele Stadium.Tuboneyeho kwibutsa abakinnyi b’amakipe yacu kurangwa na ‘Discipline’ ku bibuga no hanze yabyo.Murakoze.

Tafsiri kwa lugha ya kiingereza
"The Rayon Sports family, disturbed by the recent misconduct exhibited by its player Héritier Luvumbu Nzinga during the match against Police FC on February 11, 2024, at Kigali Pele Stadium in the Championship League.
We would like to remind our team players about the importance of discipline both on and off the pitch.
Thank you."

Tafsiri kwa lugha ya Kiswahili
"Familia ya Rayon Sports, imehuzunishwa na kitendo cha utovu wa nidhamu kilichodhihirishwa hivi karibuni na mchezaji wake Héritier Luvumbu Nzinga wakati wa mechi dhidi ya Police FC tarehe 11 Februari 2024, katika Uwanja wa Kigali Pele Stadium katika Ligi ya Mabingwa. Tunapenda kuwakumbusha wachezaji wetu kuhusu umuhimu wa nidhamu kwenye uwanja na nje ya uwanja. Asanteni."
 
Labda niendelee kusubiri kwanza kupata maelezo kuwa hiyo ishara ina tafsiri gani
 
Klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Imevhnja mkataba na Mshambuliaji wake Hatari Raia wa DR Congo Heritier Luvumbu Baada ya hapo Jana kufunga bao na kushangilia Kwa Staili ya kuziba mdomo na kuweka kidole kichwani kama Bastola Hivi

Hapo Jana katika mchezo wa ligi kuu ya Rwanda Kati ya Rayon Sport na Police FC Ilikuwa ni Dakika ya 53 Heritier Zinga Luvumbu alipiga Free Kick Kwa Mguu wa kushoto Kisha ikatinga Nyavuni Upande wa Kulia wa Golikipa wa Police FC Kisha Luvumbu akaenda kushangilia karibu na mashabiki Kwa Staili hii maarufu inayotumiwa na Wanasoka wa DR Congo

Hii Leo Klabu yake ya Rayon Sport Ikatangaza kuvunja mkataba na mchezaji huyo huku Ikisisitiza Haitaki Siasa

View attachment 2902145

======

View attachment 2902209
Umuryango wa Rayon Sports witandukanyije n’imyitwarire mibi yagaragajwe n’umukinnyi wayo Héritier Luvumbu Nzinga ku mukino wa Shampiyona wahuje Rayon Sports na Police FC tariki 11 Gashyantare 2024 kuri Kigali Pele Stadium.Tuboneyeho kwibutsa abakinnyi b’amakipe yacu kurangwa na ‘Discipline’ ku bibuga no hanze yabyo.Murakoze.

Tafsiri kwa lugha ya kiingereza
"The Rayon Sports family, disturbed by the recent misconduct exhibited by its player Héritier Luvumbu Nzinga during the match against Police FC on February 11, 2024, at Kigali Pele Stadium in the Championship League.
We would like to remind our team players about the importance of discipline both on and off the pitch.
Thank you."

Tafsiri kwa lugha ya Kiswahili
"Familia ya Rayon Sports, imehuzunishwa na kitendo cha utovu wa nidhamu kilichodhihirishwa hivi karibuni na mchezaji wake Héritier Luvumbu Nzinga wakati wa mechi dhidi ya Police FC tarehe 11 Februari 2024, katika Uwanja wa Kigali Pele Stadium katika Ligi ya Mabingwa. Tunapenda kuwakumbusha wachezaji wetu kuhusu umuhimu wa nidhamu kwenye uwanja na nje ya uwanja. Asanteni."
Kagame na genge lake wanahukumiwa na nafsi zào.
 
Pumbavu zao nchi nzima. Kwa hiyo wao wanafurahishwa na yanayoendelea Congo?
 
Mi ntakuwa tofauti,
1. Hii ni taarifa ya timu siyo ya nchi

2. kafukuzwa Kwa utovu wa nidham, we never know huenda kuna utovu mwingine aliufanya kabla au baada ya mechi

3. Kama sababu kuu ni hiyo Bado huenda anamakosa kama Taasisi iliweka utaratibu ila kama haikuweka utaratib juu ya ishara hiyo basi kaonewa.
 
Back
Top Bottom