Shangwe la Msigwa akirejesha fomu Kanda ya Nyasa latikisa Mbeya

Shangwe la Msigwa akirejesha fomu Kanda ya Nyasa latikisa Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa .

Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa .

Ilibidi Jeshi la Polisi lifanye kazi ya ziada kupanga misululu ya wat

Screenshot_2024-04-21-16-20-52-1.png
 
Sugu kisiasa ni mdogo hata kwa John Pumbulu. Kujipambanisha na Msigwa kakosea sana.
 
Saaafi Sana Sugu Vs Msigwa, halafu kuna kenge wanasema CHADEMA hakuna democrasia
Kama cheo cha Mwenyeketi ni cha kudumu wewe hivi vyeo ambavyo ni vya kipuuzi unaona ni demokrasia zaidi ya kufurahisha umati?
 
Back
Top Bottom