Shanta Gold yaanza uzalishaji wa dhahabu kwenye mgodi wa Singida

Shanta Gold yaanza uzalishaji wa dhahabu kwenye mgodi wa Singida

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Shanta imesema imepata dhahabu yake ya kwanza kwenye mgodi wake wa Singida yenye uzito wa wakia 35 baada ya kufanya uchenjuaji.

Wakia 35 za dhahabu zilizalishwa huku nyingine 500 zikiwa kwenye mchakato. Mkurugenzi wake, Eric Zurrin amesema hii ni hatua kubwa kwa Shanta na ni hatua inayoashiria kwenda awamu ya ukuaji wa kuwa mzalishaji wa 100,000 oz kwa mwaka.

Zuric amesema mradi huo umeleta matokeo ndani ya muda na bajeti, ameongeza ni hatua muhimu pia kwa wilaya ya Ikungi ambapo Watanzania 270 wataajiriwa kama waajiriwa wa kudumu.

Source: Mining Weekly

Gold pour.jpg
 
Back
Top Bottom