Shaquille O'Neal, wife splitting up

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Guess Shaq was bangin' Gil's lady...



damn shaq





 
Sababu nyingine ya kutooa hiyo GT.

With divorce rates this high, why set yourself up for failure and all that drama of custody, child support and alimony?
 
Sababu nyingine ya kutooa hiyo GT.

With divorce rates this high, why set yourself up for failure and all that drama of custody, child support and alimony?

This kinda shit will put you in a "OJ" state of mind. Not saying it should be done....But I understand.
 
Sababu nyingine ya kutooa hiyo GT.

With divorce rates this high, why set yourself up for failure and all that drama of custody, child support and alimony?

Mh, hivi mbona wanaume wakifungua shauri la talaka hawadai "spousal" support?, why is it always female ndio wanadai hata kama wao ndio wana kipato zaidi? Nadhani huu ni wizi kama sio ufisadi, yawezekana hata huyu alishapanga mkakati baada ya miaka kadhaa natimka na kudai spousal support!
 
Shaq na mke wake walisha separate wakati fulani then waka concile thy r differences wakarudiana...na kisa kilikuwa Shaq alidai mke wake anamuibia pesa and i think alikuwa ana mcheat.....so sishangai kuona mke ana file for divorce now...Shaq hana dal tena kwenye NBA...huu msimu wake wa mwisho na Cleverland.....mke keshapiga mahesabu yake kanona mmh ngoja niwahi mapema...mke wa shaq anaonekana anapenda sana pesa....maana inasemekana alikuwa anamuibia mumewe pesa...what kind of a wife anamuibia mumewe jamani eeh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…