Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Wakuu salama?
Mimi ningependa kufahamu kwa wajuzi kuwa kati ya Blogu au tovuti na YouTube ipi ukiunganiswa na Google Adsence inalipa vizuri? Yaani wapi unaweza earn Pesa kubwa kati ya YouTube na Blogu yaani YouTuber na Blogger nani anaweza faidika zaidi na Matangazo ya Google.
Pia unaweza ongeza hivi kuna Makampuni ya Matangazo unaweza kuunganisha ukatangaza kupitia YouTube kama ilivyo kwa blog na website?