Upo sahihi mkuu na nimekuelewa hapa ningependa kujua tu kati ya hivi vitu viwili kipi bora ili kama unafanya kama party time ujue wapi uwekeze nguvu zaidi ya kwingine.Neither both...
Kama unataka kutengeneza kipato kwa blog au youtube ukweli ni kwamba inahitaji uwekezaji mkubwa sana na itakupotezea muda tuu naongea from experience tafta inshu nyingine mtandaoni blog na Youtube ziwe kama kichocheo tu
Kote uko vizurKwa uzoefu wako wapi mpunga wa Google Adsence upo vizuri.
Hapo kweli nimekupata.YouTube ni large community yenye billions of viewers, chances za video zako kuonekana ni kubwa sana.
Ila blog hakuna mtu atakayekuwa anahangaika kila siku kuingia kwenye blog yako, unless uweke very interesting stuffs. Na siku hizi watu wengi wavivu kusoma.