Share hapa fursa za uwekezaji katika Biashara ya Makaa ya Mawe

Aigle

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
1,540
Reaction score
7,973
Habari zenu

Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ama uwekezaji huu wa MAKAA YA MAWE.

Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mfano
Mahitaji muhimu (vifaa nk.)
Namna ya kutengeneza faida
Changamoto/ushauri na mambo yote ya jumla yanayohusiana na uwekezaji huu.

Natanguliza shukrani.
 
Unataka kuimiliki mgodi au Vipi? Kuwa wazi hapo Kwanza.

Hiyo ni biashara ya tons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…