Share movies au series na mahudhuhi kwa kifupi.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Kama kichwa cha uzi huu kinavosema, unaweza kushare movie au series yoyote na mahudhuhi yake kwa kifupi.
Ili kuwapa chachu wale ambao si wapenz sana wa kuangalia filamu kutokana na kushindwa kupata kile wakipendacho katika filamu.

Share filamu yoyote ya bongo, Bollywood,
Hollywood,
Nollywood, na zinginezo
Pia series za aina zote.

Pia tuweze kujenga taswila kwa wote kuwa filamu sio kwa kujifulaisha tu (entertainment) au vichekesho. Bali pia zinaelimisha.
Ni vizur kukopi (kujifunza) kilicho kizur (positive) kwa waigizaji na sio tabia mbaya, mionekano mibaya na mengine yasio kuwa na faida.

Natanguliza shukurani kwa all members JF, Asanten.

Don't forget to subscribe.
 
Napenda series za Turkish kati ya nyingi hizi mbili sizichokii ni kwikwi
IMG_20181223_203919.jpg
 
Bollywood movie-star Salman khan.
Nipo nawatch now- Channel ya swahili Bollywood.

Iko poa.
Mapenz
Ndoa
Siasa
Na ugomvi wa kifamilia.
Two main character- two brothers
images-15.jpeg
 
Hollywood.
Searching ( family).

Binti anapotea. Huyu binti anakaa na baba yake. Mama yake alaifariki kwa Kansa. Polisi hawana maelezo na majibu sahihi juu ya kupotea kwa mtoto. Babaye anaacha kazi zote anaanza kumtafuta mwanaye. Anatumia mitandao ya kijamii na location za simu amabazo mara nyingi kwa wezentu hizi huwa on.

Basi mzee anaanza kupata lead kwa wanfunzi wenzake shuleni....Mara kupitia location za simu...mara mawasiliano yao ya mwisho maanayake huwa kila baada ya muda fulani huwa wanautaratibu wa kutumiana msg baba na mtoto....mara anapata lead ya kupitia secret camera alizo instal nyumbani mwake.... ( hapa suspect ni kaka yake)...mara kupitia mitandao anapata lead ya Dada anayefanya kazi ktk kibanda cha baga sijui...kisha lead hii inapotea.

Polisi wanafanya search ktk misitu ( park) amabyo alionekana mara ya mwisho. Polisi inathibitisha kuwa hakuna kitu msituni.....mzee anapagawa...anakaa chini anatulia..anaanza kufuatilia vizuri anakuja kupata lead kuwa yule askari( detective, aliyeshikiria kesi) ni yule yule aliyekuwa anawasiliana na mwanaye ktk mitandao ya kijamii.

Anaanza kumfatilia anagundua kuwa yule askari ali volunteer ktk ile kesi haikuwa yake, very unsual, akaanza Ku m suspect. Ktk kufuatilia zaidi ikaja gundulika kuwa askari yule alitengeneza mazingira yote ya kesi...baada ya mwanaye ( mtoto wa detective) alikutana na yule aliyepotea ktk mazungumzo kwa bahati mbaya akampush akaanguka ktk korongo palepale park lakini yule detective aliwaambia watu kule walishasachi na hawakuona kitu. Yote alifanya kumlinda mtoto wake asiende jela....IPO vizuri..sana.
 
Aiseee hii series inaonekana iko vzr sana. Naionaga tu sikuwahi fikiria itakuwa nzuri hivi

Bollywood
Barfi
Familia fulani yenye binti mwenye matatizo ya akili inahamia ktk mji fulani. Huko inamkuta kijana bubu na kiziwi ambaye anakuwa na mazoea na yule mtoto was ambaye ni mgonjwa wa akili. Mwushowe kijana anasingiziwa kambaka yule binti. Ni movie nzuri.
Screenshot_20181223-225126~2.jpeg
 
Back
Top Bottom