Ukianza kufuatilia movies na series za Turkish, Korea utaweka pembeni.Ntaifatilia...
Hii nitaitafuta napenda love storyHollywood
Title: A soldier's love story
Hii inahusiana na soldier alokuwa ameachwa na mpenz wake kisa ni mwanajeshi akaja mpenda mdada mwingine alikuwa ameachika kwa mme wake.
Ni moja ya love story nzuri saaaaana afu itakuacha umejaa machozi machoni na bado umetabasamu
(What a happy ending)[emoji4][emoji4][emoji4]...
Ni nzuri sana, yaani sana sana sana. Hii pia ya kuangalia na mpenzi wako[emoji4]
Mi naangalia romantic movie tu...nilijikataza angalia nyingine[emoji23] ushaangalia ya forever my girl au ile ya me before you?Hii nitaitafuta napenda love story
Mahudhuhi ni nin? Tusaidiane waungwana
Sijaangalia mkuu niandikie movies au series mzuri 😂😂😂sikukuu nikiwa home nizicheki mpaka nilie mwenyewe yaani love story Zina hisia jamaniiMi naangalia romantic movie tu...nilijikataza angalia nyingine[emoji23] ushaangalia ya forever my girl au ile ya me before you?
🤣🤣🤣🤣Najalibu kujibu yaani mafundisho uliyo yapata baada ya kuangalia movies au seriesMahudhuhi ni nin? Tusaidiane waungwana
Sijaangalia mkuu niandikie movies au series mzuri [emoji23][emoji23][emoji23]sikukuu nikiwa home nizicheki mpaka nilie mwenyewe yaani love story Zina hisia jamanii
Hollywood
Title: A soldier's love story
Hii inahusiana na soldier alokuwa ameachwa na mpenz wake kisa ni mwanajeshi akaja mpenda mdada mwingine alikuwa ameachika kwa mme wake.
Ni moja ya love story nzuri saaaaana afu itakuacha umejaa machozi machoni na bado umetabasamu
(What a happy ending)[emoji4][emoji4][emoji4]...
Ni nzuri sana, yaani sana sana sana. Hii pia ya kuangalia na mpenzi wako[emoji4]
Asante mkuuHapo nshakupa NNE...[emoji23][emoji23] afu uzuri ninazokutajia zipo you tube pia. Veeery romantic...nakuonea wivu nawish ningekuwa sijaziangalia. Kuna hii inaitwa love comes softly... Icheki pia, ni tamu sana. Ukimaliza unambie nikupe nyingine[emoji4]
Hollywood
Title: A walk to remember
Hii movie inahusisha maisha ya shule (high school) ambapo kuna changamoto nyingi ie bullying, pride, ukorofi, na mengine mengi.
Basi kuna dada (main character) alikuwa bullied sana shule kutokana na jinsi alivokuwa anajiweka weka (Nguo ndefu, upole, kutokuwa ktk magroup ya kijinga) afu alikuwa mtoto wa mchungaji
Siku zikaenda akatokea kufall kwa moja ya masharobaro wa hio shule ndo ukawa mwanzo wa utamu wa movie[emoji4], mkaka akamuacha demu alokuwa nae before, akabadili group alokuwa nalo yaani yeye mda wote ni yupo na mpenzi wake huyo mpya ambae ndo main character ( yaani kwakweli hapa utajifunza nguvu ya mapenzi ktk kumbadili mtu) mkaka alibadilika totally... Akaanza penda shule dah.
Basi bhana mbeleni ikagundulika kuwa yule dada alikuwa hajiweki smart chuo kwa vile alijua anakaribia kufa so hakutaka mtu ampende pale shule ila ndo ikawa bahati mbaya amefall kwa yule mkaka.
(Utamu mwingine ukaanza sasa[emoji4][emoji4]) the guy anafight mpenz wake asife. (Hii movie ukiangalia afu usilie we ni komandooo) bahati mbaya huyu mdada akafa bhana.
Hii movie ilinifundisha mengi aisee. Kwanza tusidharauliane, yaani humu mitaani tunapita inabidi tuwe Wema kwa kila mtu, maana hatujui tunaokutana nao wamebeba misalaba gani ikiwemo magonjwa na tabu nyingine. Huwezi jua tabasamu lako kwake litamsaidiaje!!!
Kingine mapenzi ya kweli yapo bhana...hawa watu walipendana sana hadi nikaona wivu.
Ni movie nzuri ya kuangalia, hasa hasa na mpenzi wako[emoji4]
Asante mkuu
😂😂😂😂😂Unaonekana ni kwikwi kwenye love storyHivi ushaangalia ile ya 'diary of mad black woman'? Iangalie uone wanaume wanavobadilika wakipata hela. [emoji23][emoji23] nzuri pia...ni kind of romantic.
"Maudhui"Kama kichwa cha uzi huu kinavosema, unaweza kushare movie au series yoyote na mahudhuhi yake kwa kifupi.
Ili kuwapa chachu wale ambao si wapenz sana wa kuangalia filamu kutokana na kushindwa kupata kile wakipendacho katika filamu.
Share filamu yoyote ya bongo, Bollywood,
Hollywood,
Nollywood, na zinginezo
Pia series za aina zote.
Pia tuweze kujenga taswila kwa wote kuwa filamu sio kwa kujifulaisha tu (entertainment) au vichekesho. Bali pia zinaelimisha.
Ni vizur kukopi (kujifunza) kilicho kizur (positive) kwa waigizaji na sio tabia mbaya, mionekano mibaya na mengine yasio kuwa na faida.
Natanguliza shukurani kwa all members JF, Asanten.
Don't forget to subscribe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaonekana ni kwikwi kwenye love story
Hizi Ukianza kuangalia unakuwa kama una kaugonjwa wallah unaweza kulala hata saa nane usiku Kuna watu wako serious kwenye kuigiza kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji23] hatari.
Hizi Ukianza kuangalia unakuwa kama una kaugonjwa wallah unaweza kulala hata saa nane usiku Kuna watu wako serious kwenye kuigiza kwa kweli.
🤣🤣🤣🤣Niliwahi kuchelewa job kwa kulazimisha kufuatilia series nikasema ngoja niache mwenzi nisiangalie asubutu kwani niliwezaHahahaha, yaani inakuwa bandika bandua...unalala asubuhi.
Ni kama ulevi aki...[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliwahi kuchelewa job kwa kulazimisha kufuatilia series nikasema ngoja niache mwenzi nisiangalie asubutu kwani niliweza