Hapo ni kama unataka pumzi, kupunguza misuli, flexibility na ukakamavu.So far sijaona zoezi kali kama kukimbia na kuruka kamba!!
Kukimbia na kuruka kamba ni msingi wa mazoezi yote!!
Nilikua sijui hiliHapo ni kama unataka pumzi, kupunguza misuli, flexibility na ukakamavu.
Kama unachotaka ni kuongeza misuli hayo mazoezi ni kikwazo.
mkuu zinauzwa wap kwa darPritein powder ni supplement katika gym advanced unaweza ukakuta wanaziuza, kwa sisi Tanzania maarufu ni whey protein na protein shake.
Kwa kua mlo wako unaweza usifikie kiwango cha protein inayotakiwa hizi supplement kazi yake ni kuziba hayo mapengo.
Nimeshaona vidonge vyake na pipi pia.
Kiukweli namna rahisi ni kutumia hiz supplements, ila kama mfuko unaruhusu ni kupangilia mlo wako kwa vyakula vyote vyenye protini. Kama mfuko hauruhusu basi usikose peanut butter, maziwa, ndizi, samaki, mayai na juisi za matunda.
Mkuu nashukuru sasa Niko poa kabisa hakuna cha maumivu wala nn.Yanauma yamechubuka au kama yameviza?
Kama ni kuviza, usiache endelea ila shuka spidi uliyotumia nyuma yake. Ndani ya siku nne unakua uko sawa.
Zinapatkana wap kwa dar zinapouzwa?Pritein powder ni supplement katika gym advanced unaweza ukakuta wanaziuza, kwa sisi Tanzania maarufu ni whey protein na protein shake.
Kwa kua mlo wako unaweza usifikie kiwango cha protein inayotakiwa hizi supplement kazi yake ni kuziba hayo mapengo.
Nimeshaona vidonge vyake na pipi pia.
Kiukweli namna rahisi ni kutumia hiz supplements, ila kama mfuko unaruhusu ni kupangilia mlo wako kwa vyakula vyote vyenye protini. Kama mfuko hauruhusu basi usikose peanut butter, maziwa, ndizi, samaki, mayai na juisi za matunda.
Kwenye pharmacy za wahindi Kariakoo na Posta.mkuu zinauzwa wap kwa dar
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app