Endelea kufanya zoezi pataacha kuuma kwasababu mazoezi ni mazoea so pindi unavozid kulifanya ndivyo mwili unapoizoea hiyo halimtoa mada mi nimeanza juzi kukimbia kuzuka uwanja bt mapaja yote yanauma hatari VIP hii hali unaweza isha baada ya siku ngapi
Kweli mkuu.............Pata muda wa kupumzika
Usikate tamaa kama hujaona matokeo mapema
Mlo sahihi kwa mazoezi sahihi
Usijilazimishe baadhi ya mazoezi, fanya kidogokidogo
niliwahi kufanya hii ya kunyanyuka na vitu vizito baada ya muda nikaanza kuhisi kiti kama mshipa kwenye scrotum(testis)Samahani mkuu mshipa ukimaanisha kitu gani?
Inaonekana ulikua unapiga squats, pia inaonyesha ulikua unatumia uzito mkubwa mno.niliwahi kufanya hii ya kunyanyuka na vitu vizito baada ya muda nikaanza kuhisi kiti kama mshipa kwenye scrotum(testis)
Kama nakumbuka vizuri stand ulishanionyesha kwenye uzi fulani hivi.castr nina siku nne natumia stendi ya push up nipe hasara na faida tafadhali
Kitu chochote kizito, hata beseni la maji, ukiwa unanyanyua bila mkao stahiki utapata ngiri.Je, kuna ukweli wowote ukinyanyua vitu vizito unaweza kupata mshipa wa ngiri
Sent using Jamii Forums mobile app
dah mkuu castr kumbe squat yaweza kuleta ngiri dah me wakati fulani huwa napata maumivu ya scrotum inabidi nipunguze squat au niache kabisaKitu chochote kizito, hata beseni la maji, ukiwa unanyanyua bila mkao stahiki utapata ngiri.
Katika mazoezi zoezi ambalo linaweza kukupa ngiri ni squats, hivyo kifua na mengine hayana athari hiyo.
Angalia uzito umaotumia, idadi ya reps na kama hua unakaa jinsi squat inavyotakiwa kukaa ukiwa unaifanya.dah mkuu castr kumbe squat yaweza kuleta ngiri dah me wakati fulani huwa napata maumivu ya scrotum inabidi nipunguze squat au niache kabisa