Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

Vipi inawezekana uka Generate image yako ikawa katika mfumo wa Akili mnemba
 
Vipi inawezekana uka Generate image yako ikawa katika mfumo wa Akili mnemba
Fuatisha maelezo hapa chini.
- Utangulizi: Ili kupata picha inayofanana na wewe kwa asilimia kubwa basi inatakiwa utoe wasifu wako kimwonekano kwa kina sana.

- Nimekurahishia kazi:
1.
Fungua chatgpt au copilot au gemin,

2.
Andika maelezo mengi kwa kadri utakvyo muonekano wa picha uwe: Mfano: Mimi ni mrefu, umri wangu ni wa kati ya miaka kadhaa na kadhaa, mwembamba kiasi , Naishi Tanzania, Eneo la mjini au kijiji eleza hapo, napendelea mavazi ya aina fulani, rangi yangu ya ngozi iko hici au vile, Mtindo wa nyele niupendao ni huu eleza kwakina ( Yaani andika chochote unachofikiria na ambacho unataka kiwepo kwenye picha)

3. Chini ya hayo maelezo #2: Copy na ku_paste haya maandishi hapa chini:

Ambapo chatgpt (au copilot au claude au gemin) itakupa maelezo ya picha husika.

===
Nimefuata hatua tajwa hapo juu, Matokeo ni kama ifuatavyo.

4. Hapa chini ni mfano hai: Baada ya kuitazama picha ya BUSH BIN LADEN , na kuieleze chatgpt kisha ikanipa hii Image prompt:

Ambapo nimeweza kutengeneza picha zifuatazo:



JE NITUMIE AI IPI KUTENGENEZA PICHA (YAANI WAPI UWEKE MAELEZO YA PICHA)

  • Zipo AI nyingi ambazo ni maalum kwa utengenezaji w picha
  • Zipo za bure na kulipia.
Ila tumia hizi mbili ni bure kabisa:
1. FLUX
( Hii AI imekuja kuu soko la SD3) ingia hapa ili kutengeneza picha
Code:
https://huggingface.co/spaces/black-forest-labs/FLUX.1-dev

2. Ideogram:
Code:
https://ideogram.ai/login
 
Vipi inawezekana uka Generate image yako ikawa katika mfumo wa Akili mnemba
Nakazi maarifa kwa mfano #2.
=
Katika pita pita hapa JF nimekutana na hii thread: Misemo gani ya kijinga na kipumbavu watu hutumia kufarijiana?
=
Nikavutiwa na reply #6:
=
Nikataka kuona muonekano wa picha kulingana na maelezo ya comment #6. Sana sana huyu "mzee mmoja"
=
Nikafungua chatgpt nikaipa haya maelezo:


<Craft prompt for image or picture as per below input>:

Siku moja tulikuwa tumekaa kijiweni. Akapita tajiri mmoja wa mtaa tunaoishi kwenye Range Rover mpya, kali sana. Alikuwa anajukana kwa utajiri wake. Tulikuwa tumekaa na mzee mmoja, akaanza kuchoma choma ardhi kwa kijiti, tena kwa ghalabu huku akisema, ''hata uendeshe gari gani, wote njia yetu ni moja tu, tunaelekea huku'', akimaanisha ardhini. Na mara wote tuliokuwa pale tukajisikia kuliwazika na tukajiona na furaha, kama tumetua mzigo mzito.
</Craft prompt for image or picture as per below input>

Prompt Structure:
Use the following structure to create a detailed prompt for AI image generation:


/imagine prompt: [4K Ultra HD], <environment>, <time_of_day>, <atmosphere>, <main_subjects>, <subject_details>, <subject_interaction>, <immediate_surroundings>, <nearby_elements>, <distant_features>, <color_palette>, <textures_and_materials>, <micro_details>, <lighting_quality>, <ambient_sounds>, <emotional_tone>, <movement_and_energy>, <time_passing>, <viewing_angle>, <focal_point>, <depth_and_dimensionality>, <size_relationships>, <contextual_details>, <ultra_hd_features>, <hdr_effects>, <artistic_technique>, <influences>, <key_focus_areas>, <de_emphasized_elements>, Negative prompt: <exclusions>, --ar 16:9 --v 5.2 --q 2
=

Matokeo ni Picha hizi:


=
Share picha yako kwa kujaribu/kutumia hii prompt:

/imagine prompt: [4K Ultra HD], <village street at dusk>, <golden hour>, <contemplative and tranquil atmosphere>, <a group of men sitting casually on a rough-hewn wooden bench under a large tree>, <older man with a weathered face holding a small stick and drawing in the dirt>, <younger men watching him with attentive expressions>, <dusty ground scattered with fallen leaves>, <a shiny, brand new Range Rover passing by in the background>, <distant modest houses with tin roofs, warm glow from windows>, <muted earth tones with touches of gold from the setting sun>, <rough texture of the tree bark, worn clothing of the men>, <micro details of dirt being disturbed by the stick, slight breeze rustling the leaves>, <soft, warm light illuminating the scene with long shadows cast by the setting sun>, <gentle rustling of leaves and distant sounds of the village settling for the night>, <emotional tone of reflection and acceptance>, <stillness of the men contrasted with the movement of the car>, <slow passage of time emphasized by the lingering light of dusk>, <low viewing angle to capture the contrast between the humble gathering and the luxury car>, <focus on the older man drawing in the dirt>, <depth emphasized by the layering of subjects from the foreground to the background>, <subtle size contrast between the massive car and the small, humble men>, <contextual details of the village life and the juxtaposition of wealth and simplicity>, <ultra_hd_features capturing the fine details of the scene>, <hdr_effects to enhance the warm light and deep shadows>, <artistic technique of realism with a slight painterly effect>, <influences from classic African storytelling imagery>, <key focus on the wisdom and humility of the older man>, <de_emphasized elements of the car’s luxury>, Negative prompt: <no modern or urban elements>, --ar 16:9 --v 5.2 --q 2
 
Hawa wana kijiji mbona kama wamevaa sare za 'fisiem'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…