Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

Siku zote navyokwambia wewe ni mwanangu ulidhani nakutania. Una same age na mwanangu..
Your browser is not able to display this video.
=
Your browser is not able to display this video.
 
Huo mwili ni wa kibaunsa sana😅😅
Kuna factor mbili
  • Chubby = Nikiondoa hili neno kisha, Nikatumia maneno model, skinny ( atatokea Demi ki_model mafno Mange kamwili kake)
  • Weight 87 = Hapa uzito nitaweka mfano 70KG ( au chini ya hapo)

Vipi nikuwekee mwonekano mpya?
 
Endelea kurekebisha..huo mwili wa ubaunsa sina kabisa😀.
Nina pua ya kisomali hivi🤪
 
Imegoma kabisa kuandika maneno yangu ya "PS KITAA TOURNAMENT" yenye tagline ya Onyesha Uwezo Wako wa Kumiliki Pad.
 
Imegoma kabisa kuandika maneno yangu ya "PS KITAA TOURNAMENT" yenye tagline ya Onyesha Uwezo Wako wa Kumiliki Pad.
View attachment 2849021
Unajua hii ni "Image generator" sio "Text generator AI" kama GPT kwahiyo nguvu zao wameweka kwenye picha kuliko maandishi. kwenye maandishi bado sana labda uweke ukuta blank kisha tumia App kama Picsart kuongeza manjonjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…