? ? ! Mie nishaamka ! Unashaurije niendelee kuuziba mdomo ? Au niwaamshe waliobado usingizini ?
Thread ya Mpole on MTM imefutwa?!
keep talking...
Am listening..
Hapo ulipopaacha mie ndo huwa napapenda zaidi
..............story haijaisha hapo bado.... Ndo kwanza tunakaa vizuri
hiyo 'addiction' yako ya juicy details hiyo....lol
Mimi huwa nachukizwa nikiwa mwenyewe nishaandika kwenye thread kisha inafungwa. Yale masuali yangu niliyomtwanga The Boss yatajibiwa wapi sasa?
get over that addiction lol
owkey.... Well.... amh'.... Dah!
Nitarudi. 😛hoto:
Hilo haliwezikani....naogopa kuwa brain dead :lol:
how can i help u?
He didnt turn out, nikasubiri weee
Hadi make up ikwapwaya
Na hii niite date au month?
Kiongozi ! Sijakurupuka ni kwa idhini yako mwenyewe! Nilipokwambia "mi nishaamka" niendelee kutia domo pamba ? Ukaniambia mwaga! kadamnasi.
Rejea sintofahamu inayoendeleaga hapa Jf about "Kongosho gender" nakiri umefanikiwa kuu'maintain UTATA huu kua sustainable.
Pamoja na kua kuna time una'comment kama She then sometimes kama He, but mimi kama mimi nilishafanikiwa ku'reveal your real gender kitambo.
Your comment shown above inatosha kutoa picha halisi ya kuondoa utata husika. Natanguliza a certain apology ikiwa nimekukwaza, hata hivyo nina shelter ya kibali ulichonipa.
1. Jibu masuali ninapokuuliza
2. Uwahamasishe mods wasifunge thread niliyochangia kwa kuuliza suali :lol:
Dear jf members, Have you ever had a date with a stranger (blind date)? that feeling of excitement, nervous and anxiety! lets share your experience.. How did it turn out? Was it what you expected or a big disapointment?
HA ha ha ha. ya ngoswe mwachie mzee ngengemkeni mitomingi
Sijui kikopi na kupaste quotes from other sreds
Ningekuwekea kitu hapa ukaona
Sredi ya Mtambuzi 'watamu kuliko mama yao' page one
Inakueleza nini?
Hiyo tiledi ya Mtambuzi "wa'sweet kuliko mama zao" nshaipitia na kui'comment! Ya Ngoswe left to ... Kaisari ni kweli alafu hawa jamaa Ngoswe na Kaisari sio ndugu hawa ?
Before JF that was very rare, but now with PM facilitation wengi sana wanaenda hizo makitu
Blind date i think......*Take of the sunglasses*.........Mother of God......