Mtangazaji wa CGNTV aambaye ni mkaazi hapo Dar, alisema vijijini wananchi wamepigika sana na wanamuunga mkono Rais ila mjini Dar wananung'unika sana maana wengi maslahi yao yameguswaHyo ni huko kwa wenzetu kaka. Huku kwetu sisi tupo tayar kumtukana na kumsema vibaya mtu anayetutetea ili mradi tu tumuunge mkono mtu anayetaka sifa kwa maslahi yake. Yaan ni shida. Mpaka inafika watu wanaombea serikali ishtakiwe na wazungu ili kusiwe na mafanikio ya kimaendeleo kwa mpjligania haki.
Kweli ukitaka lawama dai chako.
Hii nchi ilishalaaniwa
Za uongo ! ...kwani Messi na Ronaldo walikuwa hawalipi kodi !?Unataka kusema Barrick haijawahi kulipa kodi?
Ana muda mzuri wa kuanza kuzalishaTulawaka na Buhemba vp zinafanya vizuri? Tumeshaambiwa na prof muhongo uwezo wetu ni kuzalisha juice.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maa ya vita !Barrick wana insurance ya investment yao, whatever the government does they will be paid. Kimbembe kinakuja kwa IMF na world Bank tutawaweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi maishani mwako ulishawai kujiuliza kwa nini kuna wanyama wanakula majani, wengine majani na nyama, wengine matunda na kuna wengineo wanawala wanyama wenzaoMambo tunayomfanyia Barrick kwa sasa dunia nzima ya wawekezaji it's a talk of town.
Watu wanaangalia jinsi tunavyomkomesha Barrick , tunavyoharrass wafanyakazi wake, tunavyoua thamani yake kwenye soko la hisa with just 'Sukuma land allegations'
Halafu kesho tuwafuate wawekezaji sijui na nyimbo gani,tuwaambie waje wawekeze?
Lazima wajiulize, kama tumeweza kuutendea hivi mti mbichi, itakuwaje kwa mti mkavu?
Acha woga wewe huo ndio uzuzuIpo siku Tu, wazungu sio mazuzu kama muwaziavyo! Uzuri mikataba mlisaini wenyewe.