Mzalendo07
Member
- Feb 24, 2014
- 71
- 120
Sasa serikali inaingiaje hapa? Wakat voda ni private firm na pesa zlizowekezwa na wawekezaji sio za SERIKALI?Hivi inaingia akilini mtu akikuambia VODACOM hawapati faida? Tangia wauze IPO kwa shilingi TSH 800/, Share zao hazijawai kupanda tena mpaka leo zimesimama kwa TSH 770/ na haziuziki. Hakuna mtu anazitaka hata kwa Tsh 600.
Hii maanaake ni nini? Ni kwamba hazina Value sokoni kwa kuwa azipandi thamani na VODACOM hawagawi mgawanyo wa FAIDA ata mara moja.
Cha kushangaza Serikali imekaa kimya, haijuwi jukumu lake ni kuwalinda wanainchi wasitapeliwa na kampuni kubwa kama hizi.
Kuwa serious basiSasa serikali inaingiaje hapa? Wakat voda ni private firm na pesa zlizowekezwa na wawekezaji sio za SERIKALI?
Nipo serious mkuu, sijaelewa muunganiko wa serikali na anacholalamika mtoa mada, it's either haelewi ni vipi stock market inafanyakazi au ameamua tu kuilalamikia serikali (mana ndio hulka yetu wabongo wengi)Kuwa serious basi
Sasa serikali inaingiaje hapa? Wakat voda ni private firm na pesa zlizowekezwa na wawekezaji sio za SERIKALI?
Tuwasiliane nizinunue, nitazinunua kwa 50% of the market price. Karibu.Hivi inaingia akilini mtu akikuambia VODACOM hawapati faida? Tangia wauze IPO kwa shilingi TSH 800/, Share zao hazijawai kupanda tena mpaka leo zimesimama kwa TSH 770/ na haziuziki. Hakuna mtu anazitaka hata kwa Tsh 600.