Shared phone ya VODACOM kwishnei

Shared phone ya VODACOM kwishnei

Oloronyo

Member
Joined
Mar 29, 2009
Posts
80
Reaction score
9
Ile kampuni iliyoingia kwa mbwembwe ya Shared phone imeangukia pua. Makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Namanga yamefungwa na Bw.Rupia amefungua kampuni yake ya Real investment. mwenye taarifa atujuze.
 
Mmiliki wake Roddy ni oppurtunist tu alikuwa Uganda akapiga utapeli kama ule...amekuja hapa amepiga hela fasta akauza kampuni...ila bado anakula commision yake wajua mkatana kitu kingine...anatanua tu na dada zetu nasikia bingwa wa 3some"anatanua ma casino tu....maana kila mwezi anakula ongoing comision yake kwa connection alizofanya.....mpo?ila ingekuwa ngozi nyeusi hata hy deal aingepewa.....jamaa aliweka kama 10m tuu sasa anavuna zaidi ya deci.....duu sijui tutaamka lini sisi ngozzi nyeusi,au tutaaminiwa lini jamani......nimewahi fanya kazi ya freelance kutafuta wateja wa onecell na sharedphone....hata one cell mtindo huo huo....
 
Mmiliki wake Roddy ni oppurtunist tu alikuwa Uganda akapiga utapeli kama ule...amekuja hapa amepiga hela fasta akauza kampuni...ila bado anakula commision yake wajua mkatana kitu kingine...anatanua tu na dada zetu nasikia bingwa wa 3some"anatanua ma casino tu....maana kila mwezi anakula ongoing comision yake kwa connection alizofanya.....mpo?ila ingekuwa ngozi nyeusi hata hy deal aingepewa.....jamaa aliweka kama 10m tuu sasa anavuna zaidi ya deci.....duu sijui tutaamka lini sisi ngozzi nyeusi,au tutaaminiwa lini jamani......nimewahi fanya kazi ya freelance kutafuta wateja wa onecell na sharedphone....hata one cell mtindo huo huo....onecell boss anna nyimbo kiboko alitembeana wakurugenzi wote 3 wa south waliokuja kuwekeza onecell....akawaweka kiganjani akauaa kampuni anakula commisionm zake mjini hapa alaaa.....
 
Mimi nilijiunga na biahsara ya one cell ni bure kabisa tena baada ya kila mtandao kuanzisha promotion za bei nafuu wateja wa onecell hamna tena.
 
Mmiliki wake Roddy ni oppurtunist tu alikuwa Uganda akapiga utapeli kama ule...amekuja hapa amepiga hela fasta akauza kampuni...ila bado anakula commision yake wajua mkatana kitu kingine...anatanua tu na dada zetu nasikia bingwa wa 3some"anatanua ma casino tu....maana kila mwezi anakula ongoing comision yake kwa connection alizofanya.....mpo?ila ingekuwa ngozi nyeusi hata hy deal aingepewa.....jamaa aliweka kama 10m tuu sasa anavuna zaidi ya deci.....duu sijui tutaamka lini sisi ngozzi nyeusi,au tutaaminiwa lini jamani......nimewahi fanya kazi ya freelance kutafuta wateja wa onecell na sharedphone....hata one cell mtindo huo huo....

kamanda umenichekesha!, una hasira sana! Hizi biashara za simu sio rahisi now maana tigo imekuwa cheap sana.
 
Back
Top Bottom