U UNO Senior Member Joined Feb 3, 2012 Posts 197 Reaction score 19 Sep 21, 2012 #1 Kama kuna yeyote anayejua tafadhali tujuze. Kinachoendelea na hisa za ndege za precision ni nini? Mbona kimya? Mbona hatujaona imeingia katika soko la hisa? Au tumeingizwa mjini? Baada ya kupata certificates imekuwa kimya.....mpaka leo
Kama kuna yeyote anayejua tafadhali tujuze. Kinachoendelea na hisa za ndege za precision ni nini? Mbona kimya? Mbona hatujaona imeingia katika soko la hisa? Au tumeingizwa mjini? Baada ya kupata certificates imekuwa kimya.....mpaka leo