Shares za Acacia Mining PLC zapanda ghafla

We pimbi toa upumbavu wako wa ccm hapa
 

 
Mimi sio chadema mimi ni mtanzania mzalendo
 
Mbinu ya kibiashara hii wao wamejua jamaaa kuja huku kuna matumaini ys kuisha
 
Huyu NDONDOCHA wa CHADEMA kituko kweli yaani wewe unaamini ukisikia siyo kuona?
Ndio tatizo la misukule ya ccm hata kuangalia kwenye website za soko la mitaji hamtaki mnachoweza ni kusaini tuu
 
Wajuvi wa uchumi na mambo ya soko la hisa mtupe taarifa ya mwenendo wa soko la hisa lipoje kwa sasa kwa kampuni ya Acacia, Mara baada ya Prof wa uchumi na mwenyekiti wa kampuni za acacia kuwepo jana Ikulu ya magogoni na Rais wetu...
 
alichonichekesha kuliko vyote ni kauli yake kwamba "HUYU PROFESA ANAISHI MAREKANI NA PIA ANAISHI CANADA"...what? and so what? kwahiyo? ndio anamuabudu huyo mzungu kwasababu anatoka marekani na canada? au ndio ushamba kuwaona wazungu ni viumbe tofauti na sisi? dah? wasukuma hatawakuja kuelimika hata wakiwa maprof.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…