Kwetunikwetu JF-Expert Member Joined Dec 23, 2007 Posts 1,535 Reaction score 412 Jul 4, 2008 #1 Kuna mtu anaweza kunisaidia nifanye nini ili nitumie modem ya celtel (sharkpod) kwa line ya vodacom! Kama kuna software yeyote inayoweza kuifanya hii modem itambue line ya vodacom na kukubali naomba mnijulishe. Thanks in advance
Kuna mtu anaweza kunisaidia nifanye nini ili nitumie modem ya celtel (sharkpod) kwa line ya vodacom! Kama kuna software yeyote inayoweza kuifanya hii modem itambue line ya vodacom na kukubali naomba mnijulishe. Thanks in advance
Yona F. Maro R I P Joined Nov 2, 2006 Posts 4,201 Reaction score 236 Jul 7, 2008 #2 Kwanini Usiulize Celtel Wenyewe Kwanza ?