TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina
 
Oooh mbaya sana,RIP kipenzi cha watu wengi kwa matangazo yako yenye ubunifu,aahh mbaya,twaomba hiyo pic itolewe tafadhali!
 
Msanii Shallow Ballow Milionea amefariki dunia leo mjini Tanga Lushoto kwa ajali ya gari,,mungu amlaze mahali pema peponi daima,,

Chanzo: BBC swahili
 
Msanii maarufu wa vichekesho Shalo Balo au Shalo milionea amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali ya gari huko Lushoto Tanga,,,Mungu amlaze mahali pema Shalo!!
R.I.P Shalo!!!

Chanzo: BBC Swahili.
 
Dah!Inasikitisha sana aiseee! Lakini yote ni mipango ya Mungu. R.I.P Sharomillionea (pumzika kwa amani meeeeeeeennn!)
 
Amefariki jana saa mbili usiku na kuna thread zaidi ya kumi humu zinazomhusu zimeunganishwa, subiri na hii ipelekwe kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…