Sharobaro wa Kihaya, mchekeshaji wa Futuhi acha kujichubua

Watanzania wana majungu sana!

Nadhani hii pia inachangiwa na sera za ujamaa zilizoathiri vizazi vyote mpaka cha sasa kwa kudhani kwamba kila mtu yupo chini ya udhibiti wa jamii.

Mnapata wapi muda wa kujadili anachopaka mtu usoni?

Mnashupalia kabisa? is that really a big deal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okwechu Okwechu ,Brother K ,Yule jamaa mwenye lafudhi ya kimakonde na mwenzake anavaa kofia ya Kengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…