Sharobaro!!!?

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,291
Hivi wana JF naomba mniweke wazi kwa awle wanaofahamu uhalisia wa hili jina SHAROBARO!! manake sasa naona SHAROBARO anapewa sifa mpaka naanza kupata wasiwasi kama kweli hizo ni sifa zake...! Naomba tuwekane wazi sasa...sifa hasa za SHAROBARO ni zipi...au SHAROBARO ni mtu wa namna gani??
 
heheheh kaka kweli hapo nilikua najiuliza. lakini nahisi mwenyewe hasa ni bob junior
 
Bitozi,Tozi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…