Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Wapendwa habari za usiku, tunasikitika kutangaza kifo cha dada yetu Sharon Abu kilichotokea huko marekani siku ya leo. Hata hivyo taratibu za mazishi zinaendelea kufanywa kwa ndugu na jamaa.
Katika mtandao wa Clubhouse alikuwa ni moderator wa room inaitwa "Ulimwengu wa Fikra". Our sister died because of cancer (R.I.P), she was working at World Bank.
Katika mtandao wa Clubhouse alikuwa ni moderator wa room inaitwa "Ulimwengu wa Fikra". Our sister died because of cancer (R.I.P), she was working at World Bank.