Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Eti nisilete mademu gheto...Anyway mpaka sasa sijajenga nimepanga kwenye nyumba ya mstaafu flani hivi ajuza huyu ana kamtindo ka kuamka alfajiri (utadhani anaendaga kazini) anaamka na kuanza kuzunguka uwanja wa nyumba akifoka foka bila sababu za msingi ilimradi muamkeSijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga
Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
View attachment 2850245
Aisee!Ukipika kuku lazima ulete vipande kadhaa