Sharti gani ushakutana nalo pindi umeenda kuangalia TV kwa jirani miaka hiyo ukiachana na mkae chini

Sharti gani ushakutana nalo pindi umeenda kuangalia TV kwa jirani miaka hiyo ukiachana na mkae chini

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Hii kwa waenga tu enzi hizo miaka hiyo TV zipo chache unakuta mtaa mzima ipo moja au hakuna kabisa na hapo mnaangalia ni mikanda tu na wenye nyumba wakali maana watoto kwa kuchafua nyumba na miguu michafu basi mnasema kesho usiwafungulie hahahaaha
 
Marufuku kubadili chanel au kushika remote na lazima uwe msafi usije ukachafua nyumba ya watu
 
Na jirani yangu huku kitaa yeye marufuku yake watoto wasiingie ndani bali wachungulie dirishani Dah roho huwa inaniuma sana lakini chakushangaza watoto wanafurahia hiyo hali na wala hawanung'uniki nikagundua utoto raha sana.
 
Back
Top Bottom