Sharubati ya mboga za majani inatengenezwaje?

Sharubati ya mboga za majani inatengenezwaje?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Wakuu naomba kuelekezwa namna yakutengeneza sharubati ya mboga za majani bila kuweka maji na je kuna mashine maalum ya kukamua mboga mboga kuwa sharubati?

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Juicer itafanya hivyo; Blender bila kuweka maji utaishosha kama vipi hata unaweza kupondoa ponda alafu ukakamua

Au kama vipi tafuna hizo mboga mboga sababu kuitengeneza is one thing ila kuinywa is quite another kuna mboga mboga nyingine hata kwenye koo hazipiti kwahio trick ni ku-mix na kitu ili usisikie hio kero...
 
Cucumber
Green apple
Celery
Pear
Spinach
Usiweke sukari labda asali kidogo
Tumia juicer utapata juice yenyewe kabisa.

Note:usiweke kiwi itaharibu ladha ya green juice yako unaweza shindwa kunywa.
Ukiweka apple make sure haikai muda mrefu.juice itabadilika rangi Kwa sababu ya apple
250F1ADD-58BE-468C-8AB6-C2A7566B5239.jpeg
 
Zipo mashine za kukamua juice bila kuweka maji, ila utahitaji mboga nyingi sana kuweza kupata walau glass moja ya hiyo juice.

Kama unahitaji kutengeneza juice hizo lengo tu likiwa ni kupandisha pH ya damu yako basi naamini kula Moja Kwa Moja mboga mboga hizo pamoja na baadhi ya matunda yenye asili ya alkaline Kwa wingi kutakupatia matokeo bora zaidi.

Jitahidi kujua namna bora unayoweza kuziandaa ili zibakie na virutubisho vyake.

Hakikisha unaacha kabisa kutumia nyama nyekundu, mmeng'enyo wake unazalisha asidi kwa kiasi kikubwa ambayo huleta shida nyingi mwilini.

Mungu akupe nafuu na afya iliyo bora.
 
we pitisha matembele kwenye maji ya mtoto around 20 kishablend na maji kidogo weka asali kidogo kunywa ni bonge la juis
 
Back
Top Bottom