Zipo mashine za kukamua juice bila kuweka maji, ila utahitaji mboga nyingi sana kuweza kupata walau glass moja ya hiyo juice.
Kama unahitaji kutengeneza juice hizo lengo tu likiwa ni kupandisha pH ya damu yako basi naamini kula Moja Kwa Moja mboga mboga hizo pamoja na baadhi ya matunda yenye asili ya alkaline Kwa wingi kutakupatia matokeo bora zaidi.
Jitahidi kujua namna bora unayoweza kuziandaa ili zibakie na virutubisho vyake.
Hakikisha unaacha kabisa kutumia nyama nyekundu, mmeng'enyo wake unazalisha asidi kwa kiasi kikubwa ambayo huleta shida nyingi mwilini.
Mungu akupe nafuu na afya iliyo bora.