Shauri la dhamana ya Dkt. Slaa kusikilizwa leo Mahakama Kuu ya Tanzania

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
4,978
Reaction score
2,411
Wakili Peter Madeleka amedai mahakamani hapo kuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa kifungu cha 148 (5) kimeweka masharti yanayoweza takapelekea mtuhumiwa kunyimwa dhamana .

Amedai kuwa Dk. Slaa amenyimwa dhamana kwa sababu alitengeneza Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.

"Sisi maoni ni makosa kwa haki kutotoa dhamana kwa wala3 3wetu kwa kuwa alishtakiwa kwa kesi inayodhaminika na wala3 hakuna kigezo kilichotajwa kwenye kifungu cha 185 (5)".

Ameitaja Ibara ya 15 (1) inasema kila mtu anayo haki ya kuwa huru na kuishi kama mtu huru, hiyo ni haki ya msingi.

"Ni marufuku kwa mtu mwenye kosa la jinai kutendewa kama amehukumiwa.

Kutochelewesha haki bila sababu ya msingi".

"Tunaendelea kuamini kumnyima dhamana mteja wetu kumetumiwa kwa lengo la kumkomoa .
372 (1) CPA ifanye mapitio ya mwenendo mzima wa shauri hilo na mahakama yako ifute mwenendo mzima . Kwa kuwa mahakama yako sio mahakama ya maelekezo ni mahakama ya sheria inayopaswa kuendeshwa kwa mujibu wa sheria", alidai Madeleka

Edson Kilatu amedai mahakamani hapo kuwa suala la dhamana ni haki ya msingi na haiwezi kunyimwa kwa namna yoyote ile isipokuwa kwa mujibu sheria na Katiba ya nchini
Ibara 15 (2) inazuia kwa namna yoyote ile kunyang'anya uhuru wake.

Paul Kisabo alipelekwa mahakamani tarehe 10 Januari 2025 alishitakiwa kwa kosa ambalo linadhaminika kwa maana ya kuchapisha taarifa uongo hata mteja wetu asingeomba dhamana mahakama ingempa haki hiyo.

"Mteja wetu alinyimwa dhamana bila kusikilizwa kinyume na ibara ya 13 ya Katiba yetu" alidai Kisibo.

Akijibu hoja hizo Wakili wa Serikali Mkuu Nassoro Katuga ameiomba mahakama hiyo kukipokea hati ya kiapo chao (kiapo kinzani) kuwa sehemu ya wasilisho hilo.

Katuga ameiomba mahakama hiyo ijielekeze kwenye kifungu 372 (2) na 372 (1) cha sheria ya Mwenendo wa mashauri ya jinai.

Katuga amedai kuwa tafsiri nyepesi ya kifungu cha 372 (1) kinaipa Mamlaka Mahakama kuweza kuita na kupitia mwenendo wowote wa mashauri ya jinai ambao upo kwenye mahakama za chini kwa kuangali usahihi, uhalili au usawa wa faini, adhabu, na amri ambavyo vimerekodiwa au kupitishwa .

Hakuna amri , faini ambayo wenzetu wameisema waziwazi ambayo mahakama yako inatakiwa iangalie usahihi wake.

Katuga amedai kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 372 (2) inaeleza kwamba mahakama inatakiwa ipitie amri au mchakato uliofikia tamati kwenye mahakama ya chini.

Ukiingalia maombi yaliyopeletwa mahakamani na kinachodaiwa na waomba maombi kwamba mteja wao amenyimwa dhamana ni vitu viwili tofauti.

"Waombaji wameleta maombi ya dhamana kwa mlango wa nyuma ikiwa mamlaka yake yapo mahakama ya chini ikiwa hakina amri yoyote iliyoletwa ya kumnyima dhamana mteja weo" amedai Wakili Katuga.

Wakili Kadushi amedai kuwa waombaji hawakuieleza mahakama mchakato upi uliokosewa kwenye mwenendo huo ili mahakama ijikite walichodai kwamba kuna utaratibu uliokosewa . "Sheria inazuia kwenda tofauti na maombi ulioleta mahakamani"

View: https://youtu.be/tycKIYYXksI?si=w0mPd6ZnBs0gEWIY
 
Familia ya Mbowe inapaswa kumshukuru Mungu baba yao kushindwa na Lissu

Kwa umri alionao ni vizuri kushinda na familia kuliko kupigania watanzania,wapiganaji wako wengi mbona

Babu yetu DK Slaa bado yupo mahabusu,hajaliona jua takriban wiki sasa,tumuombee,

mimi huwa nina mashaka na afya yake sijui kwa nini,mzee kama yule kulala sakafuni sio kabisa
 
Wakili Peter Madeleka amedai mahakamani hapo kuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa kifungu cha 148 (5) kimeweka masharti yanayoweza takapelekea mtuhumiwa kunyimwa dhamana .

Amedai kuwa Dk. Slaa amenyimwa dhamana kwa sababu alitengeneza Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.

"Sisi maoni ni makosa kwa haki kutotoa dhamana kwa wala3 3wetu kwa kuwa alishtakiwa kwa kesi inayodhaminika na wala3 hakuna kigezo kilichotajwa kwenye kifungu cha 185 (5)".

Ameitaja Ibara ya 15 (1) inasema kila mtu anayo haki ya kuwa huru na kuishi kama mtu huru, hiyo ni haki ya msingi.

"Ni marufuku kwa mtu mwenye kosa la jinai kutendewa kama amehukumiwa.

Kutochelewesha haki bila sababu ya msingi".

"Tunaendelea kuamini kumnyima dhamana mteja wetu kumetumiwa kwa lengo la kumkomoa .
372 (1) CPA ifanye mapitio ya mwenendo mzima wa shauri hilo na mahakama yako ifute mwenendo mzima . Kwa kuwa mahakama yako sio mahakama ya maelekezo ni mahakama ya sheria inayopaswa kuendeshwa kwa mujibu wa sheria", alidai Madeleka

Edson Kilatu amedai mahakamani hapo kuwa suala la dhamana ni haki ya msingi na haiwezi kunyimwa kwa namna yoyote ile isipokuwa kwa mujibu sheria na Katiba ya nchini
Ibara 15 (2) inazuia kwa namna yoyote ile kunyang'anya uhuru wake.

Paul Kisabo alipelekwa mahakamani tarehe 10 Januari 2025 alishitakiwa kwa kosa ambalo linadhaminika kwa maana ya kuchapisha taarifa uongo hata mteja wetu asingeomba dhamana mahakama ingempa haki hiyo.

"Mteja wetu alinyimwa dhamana bila kusikilizwa kinyume na ibara ya 13 ya Katiba yetu" alidai Kisibo.

Akijibu hoja hizo Wakili wa Serikali Mkuu Nassoro Katuga ameiomba mahakama hiyo kukipokea hati ya kiapo chao (kiapo kinzani) kuwa sehemu ya wasilisho hilo.

gu cha 372 (2) inaeleza kwamba mahakama inatakiwa ipitie amri au mchakato uliofikia tamati kwenye mahakama ya chini.

Ukiingalia maombi yaliyopeletwa mahakamani na kinachodaiwa
Mzee huyu aliisaliti CHADEMA mwaka 2015 baada ya kupewa ubalozi wa Sweden na hela na Magufuli. Magufuli amekufa akaja Samia na haku renew ubalozi wake, akaamua kuanza kumuandama kwa matusi na kashfa. Muache ale JEURI yake.

Zee limeshindwa hata kuongoza familia yake, litamuingoza nani?
 
Back
Top Bottom