Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya TFF itakutana kesho tarehe 12. April.2023 saa 4:00 asubuhi. Kamati pamoja na mashauri mengine itajadili shauri la FEISALI SALUM ABDALLAH (Feitoto) aliyeomba kuvunja mkataba na klabu yake ya Yanga SC.