Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
kabisa but the ball iko kwa fei aende yanga kuongea naoWhy wasifanye makubaliano Tu likaisha
Jeuri dawa yake ni kiburiKamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya TFF itakutana kesho tarehe 12. April.2023 saa 4:00 asubuhi. Kamati pamoja na mashauri mengine itajadili shauri la FEISALI SALUM ABDALLAH (Feitoto) aliyeomba kuvunja mkataba na klabu yake ya Yanga SC.
View attachment 2584857
Alielekezwa kuwa alikosea mwanzo, safari hii ameomba kuvunja mkataba na Yanga. Inawezekana akaambiwa ili uvunje fanya A,B,C ukishindwa ripoti kambini, au akaambiwa lipa faini ya utovu wa nidhamu kiasi hichi kwanza, omba radhi kisha fuata taratibu A,B,C uondoke. La muhimu ni afanikiwe anachotaka.Why wasifanye makubaliano Tu likaisha
Mpango wenu wa kwenda CAS imeisha wapiAlielekezwa kuwa alikosea mwanzo, safari hii ameomba kuvunja mkataba na Yanga. Inawezekana akaambiwa ili uvunje fanya A,B,C ukishindwa ripoti kambini, au akaambiwa lipa faini ya utovu wa nidhamu kiasi hichi kwanza, omba radhi kisha fuata taratibu A,B,C uondoke. La muhimu ni afanikiwe anachotaka.
Kwani nyumbani imeshashindikana? Ikishindikana ataamua kuwa kuna umuhimu wa kwenda au la. Anachotaka ni kuachana na Yanga na ndo ameomba aambiwe afanyaje.Mpango wenu wa kwenda CAS imeisha wapi
Mwambie aende CAS hapo TFF anapoteza mda tutamchangia haki ya mtu haipotei kizembeKwani nyumbani imeshashindikana? Ikishindikana ataamua kuwa kuna umuhimu wa kwenda au la. Anachotaka ni kuachana na Yanga na ndo ameomba aambiwe afanyaje.
Atafanya hivyo iwapo akiona umuhimuMwambie aende CAS hapo TFF anapoteza mda tutamchangia haki ya mtu haipotei kizembe