Khaaa! Yaani ishu ya feisal iwatoe mchezoni yanga? Basi watakuwa hawana akiliHawakufanikiwa kuwatoa mchezoni Wananchi.
Maana kila inapokaribia mechi muhimu ndio huzuka haya ili viongozi waweke concentration yao kunako UGALI KWA SUKARI na kujisahau kwenye kutafuta ushindi uwanjani.
Wakimwacha kesi itafutwa na atakuwa huru kuchezea timu yoyoteDogo kwisha habar yake atajijua mwenyewe , timu inachanja mbunga , nashauri viongozi wa Yanga wamwache awe anazurura mwenyewe hapo TFF
Huyo mama anaitwa yasmin razack ambae ni msimamizi wa fei sijui lengo lake ni lipi,na ni miongoni mwa watu wanaompotosha feiShauri la FEISAL SALUM na YANGA SC linaenda kusikilizwa leo tarehe 04.05.2023 kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji.
Taarifa kutoka ndani ya TFF zinaeleza shauri hili huenda litasikilizwa majira ya saa 10 alasiri.
Sababu ikiwa ni mawakili wa Yanga SC kuwa na majukumu mengine ya usikilizwaji wa malalamiko ya Rivers United ya Nigeria dhidi ya Yanga.
Ambayo Rivers walalamikia vitendo Vuai to vya kiuanamichezo ambavyo wanadai kufanyiwa siku moja kabla ya mechi yao na Yanga uwanja wa Mkapa kwenye robo fainali ya kombe la shirikisho la CAF.
Iafutwa vipi wakati isha tolewa maamuzi?Wakimwacha kesi itafutwa na atakuwa huru kuchezea timu yoyote
Mumchangie nauli sasa ya kwenda huko mbele! Maana muda nao unazidi kuyoyoma.Hamna jipya hapo, Fei anatakiwa kwenda mbele hao TFF ni wazee wa vimemo tu.
Mmebaki kupiga kelele mitandaoni wakati mwenzenu anaonewaHamna jipya hapo, Fei anatakiwa kwenda mbele hao TFF ni wazee wa vimemo tu.
ata kwa Morrison pia walitoa vimemo ??Hamna jipya hapo, Fei anatakiwa kwenda mbele hao TFF ni wazee wa vimemo tu.