Shauri wa faida na hasara ya kumiliki kampuni ya kibiashara

Shauri wa faida na hasara ya kumiliki kampuni ya kibiashara

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
habari wakuu
nina mpango wa kusajili kampuni ambayo itajishughulisha na biashara kama kuchukua tender na kuchukua bidhaa na kuuza kwa faida na isiwe specific kwenye bidhaa moja bali bidhaa mbali mbali...(trading company) sasa naomba ushauri juu ya gharama za usajili had kukamilisha zoezi zima na pia changamoto za kuwa na kampuni kama hii kwa wazoefu,na bank gani nzuri kwa kufungua account na kufaidika na Mikopo nafuu...natanguliza shukrani zangu kwenu...nipo dar es salaam
 
kuna thread nyingi sana umu jf zinazojibu swali lako. ztafute. pia fungua www.brela.
 
Back
Top Bottom