habari wakuu
nina mpango wa kusajili kampuni ambayo itajishughulisha na biashara kama kuchukua tender na kuchukua bidhaa na kuuza kwa faida na isiwe specific kwenye bidhaa moja bali bidhaa mbali mbali...(trading company) sasa naomba ushauri juu ya gharama za usajili had kukamilisha zoezi zima na pia changamoto za kuwa na kampuni kama hii kwa wazoefu,na bank gani nzuri kwa kufungua account na kufaidika na Mikopo nafuu...natanguliza shukrani zangu kwenu...nipo dar es salaam