DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Oct 22, 2025 #1 Mgombea ubunge jimbo la Moshi Mjini, Ibrahim Mohammed Shayo amehimiza wananchi kuendeleza utulivu na mshikamano kabla na baada ya uchaguzi uliopo kwani sio desturi ya watu wa Kilimanjaro kuandamana bali ni kutafuta pesa na kuinuka kiuchumi. Your browser is not able to display this video.
Mgombea ubunge jimbo la Moshi Mjini, Ibrahim Mohammed Shayo amehimiza wananchi kuendeleza utulivu na mshikamano kabla na baada ya uchaguzi uliopo kwani sio desturi ya watu wa Kilimanjaro kuandamana bali ni kutafuta pesa na kuinuka kiuchumi. Your browser is not able to display this video.
TheSeer JF-Expert Member Joined Oct 18, 2025 Posts 479 Reaction score 1,121 Oct 22, 2025 #2 Sasa atayaona live hapa hapa
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,779 Reaction score 7,771 Oct 22, 2025 #3 Tunatoa ilani.Ilani inasema nini?Nenda kapige kura halafu nenda nyumbani ukale ugali.