She can't even text a well written and easily understood sms..gosh!!

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Nawasiwasi na uwezo wake wa kuchanganua mambo..she can't even send a well written and easily understood text, lazima utumie kama nusu saa kuelewa amendika nini..and yet you still love her..akijieleza unachukua muda tena kuelewa anataka nini..sijui tatizo ni umri wake?? au mimi ndio mzee sana..9 yrs difference!!!
 
Kwani wewe hujui her level of education if you need help tell us her education level n age probably u have no reason to complain,
 
Msaidie...inawezekana ni mambo kadhaa, usistaduu uliochanganyika na ulimbukeni wa kifacebook au umri wake bado mdogo so anahitaji muda wa kupitia utoto wake. Kama umri si sababu muelekeze jinsi ya kubehave her age
 
this is a new era syndrome...they all cant write proper English even speaking one is an issue...they pretend to know computer but they only know twitter and fb... god forbid 'em...n mind u they all have a nice English medium school-universities backgrounds.....KAAAZI NI KWAKOOOO...Sijui watoto wao watakuwaje.

did u said age difference is only 9 yearz??...thats not a big deal..you are on the same tempo..coz ur at 29 and shes at 20..all above 18...ahahahaha.
 
kwani ni nani kwako huyo dogo? ila vuta subira, utamwelewa tu . Kwa sasa mwambie atumie sentensi fupi fupi.
 

Well said.
 
MZEE have u gone to sheikh Yahya's tutor clases before maana u guessed the age right..napata tabu sana kumuelewa exactly what she realy means when she texts me..
 
Pole sana kwa hilo, Nionavyo mimi ni kwamba hilo si tatizo kubwa hata kidogo kwenye mahusiano, inawezekana aliyekuwa nae ndo alilidhika akiwa hivyo, Kwa sababu nawe unataka afanane na hitaji lako basi, m-shape kulingana na hitaji lako. Ujinga unafutika, tatizo tu angekuwa malaya au tabia inayofanana na hiyo. Ninachoweza kusema ni kwamba maadamu moyo wako umekunjuka kwake bado una nafasi ya kumrekebisha kwa kadiri ya unavyohitaji awe. Kila la heri kwenye Kum-shape!
 
siku hizi kuna swaga kaka,sisi tunasema school..wao xcul!
 
mi nahisi mtoa mada ndio kazubaa..kuna lugha za kutext siku hizi ambazo hata mimi wakati mwingine mtu akinitext inachukua mda kuelewa coz maneno ya text 2 anazifupisha mpaka inapita kwenye text1...welcome to the new world
 
Umefuata mwandiko anu penzi? kuwa psecific bhana, penzi halipatikani kwene mwandiko wewe, aaah ndio matatizo yenu ya kukosa au kupata tohara za hospitali, acha ujinga chukua mzigo huo wewe, atakutitt daima
 
huyu ni mpenzi wako, binti yako au nani hasa tunaemzungumzia hapa? isje kuwa ni mwanao. kama ni mwanano pls ignore the above comment kama sivyo basi njoo na taarifa kamili sio kuja na vipisi hal;afu usubiri sisi ndio tuanze kuhisi. Njoo upate lunch hapa Bakulutu
 
MZEE have u gone to sheikh Yahya's tutor clases before maana u guessed the age right..napata tabu sana kumuelewa exactly what she realy means when she texts me..

Mawasiliano yenu yasiwe ya maandishi. Bila shaka akikupigia simu unamuelewa.
 
Hahaa ndo zenyewe muda umekuacha kama sisi wazee wenzako.Utakuwa ulipigiwa za xoxo xcul s gr8 nutn z ron fellaz cum coz
 

Wanasemaga pendo huwa linaangukia popote. mfundishe taratibu
 

9 years maana yake wakati wewe uko darasa la tatu ndio yeye anazaliwa au?
 
MZEE have u gone to sheikh Yahya's tutor clases before maana u guessed the age right..napata tabu sana kumuelewa exactly what she realy means when she texts me..

Nimejaribu ku-diagnose na hapa naona tatizo ni uwezo wako wa kuelewa.

Ndugu wananchi, MTIHANI si tu kipimo kwa kiasi gani mwanafunzi anaelewa, bali pia ni kipimo kwa kiasi gani mwalimu anao uwezo wa kumfanya asiyeelewa aelewe.

Wewe ndio umefeli. Maana yeye anakuelewa ila wewe humuelewi. Mkabidhi kwa BB, linapofika suala la UJI (kwa lafudhi ya kisukuma) nakuwa LINGUISTIC bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…