Nawasiwasi na uwezo wake wa kuchanganua mambo..she can't even send a well written and easily understood text, lazima utumie kama nusu saa kuelewa amendika nini..and yet you still love her..akijieleza unachukua muda tena kuelewa anataka nini..sijui tatizo ni umri wake?? au mimi ndio mzee sana..9 yrs difference!!!
Kongosho, kuna wengine wanaboa kweli: 2o8 ltr, nago str8 hm.:confused2:
Kongosho labda mwenyewe anamtayarisha awe mkewe, hasa siku akimpeleka kwa wazazi afu analeta nyodo hizo au akiwa anabadilisha meseji na mama mkwe unafikiri itakuwaje
Wewe unataka "text" au unataka "test"?
Au anataka 'taste'?
Yawezekana mdada kimawasiliano yuko hatua kadhaa mbele ya huyu mhe. kiasi cha kwamba decoder ya Kijana wa kiume inachukua muda mrefu sana ku decode message za mdada. Ajaribu ku upgrade kumwenzesha ku cope na mambo ya dotcom ,Ha ha ha ha ha, mi naona anajali kitu ambacho si cha msingi sana.
9 years maana yake wakati wewe uko darasa la tatu ndio yeye anazaliwa au?
hahaha nimependa hiyo "2o8"! Daaah
We mwenyewe ueleweki
That's how I know that I am not "the current generation" and I can now start saying "enzi zetu...."
huyu ni mpenzi wako, binti yako au nani hasa tunaemzungumzia hapa? isje kuwa ni mwanao. kama ni mwanano pls ignore the above comment kama sivyo basi njoo na taarifa kamili sio kuja na vipisi hal;afu usubiri sisi ndio tuanze kuhisi. Njoo upate lunch hapa Bakulutu
kumbe hivyo vinamba vina maana?
Hahahahaha, sasa wewe unasomaje? 'Tuonane later, na-go straight home'. hahahaha
kama anaumwa kwa kiasi hiki basi asimuoe
mie nilidhani umenipambia tu ile post lol