She has unbreakable Hymen

eSIM

Senior Member
Joined
Sep 27, 2018
Posts
167
Reaction score
135
Kama kichwa kinavyosomeka (Sorry nimeshindwa kuandika kwa kiswahili).

Huyu binti ana 30+yrs na hajawahi kufanya mapenzi (Sababu ni imani yake, no sex mpaka ndoa) sasa nimemuoa ni mwezi 1 sasa ila ndani ya ndoa hajawahi kupata penis penetration.

Kabla ya ndoa niliheshimu sikuwahi kushiriki nae hio kitu zaidi niliendelea na michepuko yangu mpaka siku ya ndoa ikafika ndo ikafungwa zen tukafly kwenda kwenye honeymoon ambayo niliiandaa kwa muda kidogo maana ilikuwa ni gharama kidogo sasa na nilifanya hvo ili kumfurahisha na kumpongeza kwa kujitunza.

Kwenye honeymoon sasa, mzee nafurahi leo naenda kufanya tendo la ndoa tena takatifu tena mbali kabisa na nyumbani ila hali ikawa tofauti.

Ikawa Nikigusa tu hymen anapata maumivu makali sana, kiasi cha kushindwa kuvumilia. she can’t handle the pain kabisa. Ikabidi nimkague mbona penis haiingii hata kama ni virgin sio kwa hali ile (Nishawahi kutoa bikra za wadada 3 before).

Ikabidi nianze kuangalia vzuri, baada ya kukagua sana nkagundua kwamba hakuna njia kabisa, papo flat kabisa ni kama ngozi ya kiganja.. je unaweza ukapenyeza penis afu ichane ngozi ya kiganja? Nilijiuliza, baada ya kuzoom vzuri nkaona kitundu kidogo sana sana. Ikabidi tuanze kuongea kwamba anapataje heshi, akasema huwa anaumwa sana na damu huwa inatoka kidogokidogo sana. Usiku ule uninishangaza sana, kabla ya ndoa nilijua kuutumia ubachelor ila sasa nmepatikana maana sijawahi kuona hali hii.

Back to me, sina penis hiivooo ni 6.5 inch kwa urefu na round ni 5.5 inch hata kama sio huge hvo how can it penetrate kwenye kitundu kidogo, nilitafakari usiku mzima.

Basi ilibidi kesho yake turudi home na akaende kuonana na gynecologist (private hospital) akafanyiwa vipimo akaonekana hana tatizo ndani (kwenye mfumo wa uzazi) ila juu ni hio tissue tu.. gyno akapitisha kidole kwenge kitobo kidogo sana ambayo ndio inayopitisha damu (hedhi). Wife alipatwa na maumivu sana na akaambiwa kwamba hana shida aendelee tu na just one kick patafunguka vzuri.

Alirudi anaumwa kabisa nadhani ni baada ya kuguswa juu kwenye kile kitobo,
What i did is to make her feel comfotable and relax.. zen nkaamua kujaribu and this time nkapush just one heavy kick kuona kama zoezi linaweza fanikiwa. Oooh gosh! Alisikia maumivu makali sana sana! I felt her pain too maana alilia sana sana na zoez halikufanikiwa. Kama mwanaume mwenye uchu sikuacha nilipambana sana ila katobo ni kadogo sana kama tundu la mkojo kwa sisi wanaume.

Tatizo nkaanza kuliona ni kubwa sasa Ikabd aende nation hospital akaonane na gynecologist hapo ni baada ya kujaribu mara nyingi sana bila kufanikiwa(najua huwez kunielewa ila kelele anazopiga ni kama anabakwa mpaka naamua kuacha maana unawezaje kumuumiza mke wako kiwango hicho).

Kule hospital wakasema hana tatizo, ila ni avumilie maumivu tu mpaka pachanike(tena gyno anasema “wewe mbona muoga hvo utaweza kuzaa kweli”). Sasa amekuwa so down, nkitaka kuingiza tu anatetemeka, anaanza kujuta kwa nn hakufanya hio michezo miaka yote hio nk.

Kama mke wangu namwonea huruma sana na amechoka na haya maumivu na mimi nime choka pia kumuumiza. Nikaanza kuchana na kidole, sasa kidole kidogo kikawa kinaingia ila ukijaribu kutanua ile tissue ya juu analia sana anaumia nimefanya hvo mara kadhaa ila bado japo kitombo kilianza kukua.

Bahati mbaya nipeta safari ya kikazi, ila soon narudi home nlimuomba picha nione kama bado yapo ka kile kitobo aisee ile picha inaonyesha pamefunga kabisa kama mwanzo (Usiniombe picha hahahah[emoji23]). Mke wangu ananisubiri kwa hamu sana. Naombeni ushauri tufanyeje na hii hymen? Je hili tatizo lipoje kuna aliyewahi kukutana nalo na je alifanyaje? Nashukuru kwa ushauri wenu.
 
Wenzio huwa wanaonja kwanza kabla ya ndoa ili kujua yaliyomo yamo.
 
Tatizo tukioa tunakuwa na huruma kiasi kwamba unajali maumivu ya mke wako.tofauti na bachela hicho kitobo kingeshafunguka dakika chache tu. Anyway, Ukiludi mueke kitako umuulize vizuri pamefungukaje? Isije kuwa kuna mtu kamfungua,,, ni mawazo tu. Nawasilisha mzee.
 
Wenzio huwa wanaonja kwanza kabla ya ndoa ili kujua yaliyomo yamo.

Miaka 30+ amekwepa mishale mingapi ndugu yangu, kuna wanawake wanamsimamo aisee.. Niliforce sana, ila nilifail nkaona sio kesi, anafanya kazi ya heshima sana, elimu kubwa kama tumbo la lekibamiaz.. pesa ipo mie nkawa natumbua tu na michepuko yangu. Na mimi nilimpenda, yupo vzuri sana basi nkawa mpole mpaka ndoa. Michepuko nimepiga chini yote nipo na mama mjengo tu ila sasa ndo balaa lingine hilo.
 
Duh!hii ya Leo Kali pako flat madaktari wanasema hakuna tatizo kinembe kipo mkuu??
Mkiwa kwenye kukuru kakara anapata hisia?
Je hicho kitobo kinatoa ute???

Kuishi kwako alikuwa hapati genye???!!!

Kitobo kipitishe hedhi kidogo kidogo mhh!!!sijawahi ona ina maana ukizibua itatoka kana bomba???bado nafanya utafiti kwakweli.

Mtanisamehe kwa lugha niliyotumua,ni ktk kulitatua tatizo La mwenzetu,imenibidi nijitoe ufahamu ili apate ufumbuzi wa hilo.
 
Kinembe kipo, analoa kawaida as a nomal woman, hisia anazo tena kali sana maana hajawahi hata kushikwa na mwanaume huko chini.. so ukimguza tu anachanganyikiwa kabisa. Kiufupi she is normal kama wanawake wengine shida ni hio hymen. Na heshi kwake mpaka aende hospital akachomwe sindano (sijui jina lake) na vidonge ndo amalize salama la sivyo ni kuumwa mpaka kulazwa na inatoka kidogokidogo sana sana yaani.

Nilichogundua hio tissue (Hymen) ni ngumu sana ( sasa najiuliza je the way mwanamke umri unavyokwenda kama hafayi sex nayo inazidi kukomaa?) na Kuibreak kwa penis labda ndo maana anapatwa na maumivu kiasi cha kutaka kupoteza fahamu kabisa.
 
Zamani walikua wanatuambia kaoa Mke ambaye hana

Ooh! Afu walikuwa wanafanyaje sasa.. nisaidieni jamani. Nkirudi tu nkafanyie kazi ushauri wenu. Inauma sana aisee. Unaiona nundu hii hapa ila sasa kuitafuna haiwezekani.
 
Ahaaa,Nimekupata mkuu
Sasa kama na penis umeshindwa mkuu bhas unavyotaka kuingiza andaa sindano ya ganzi ichome sehemu husika fungua njia

Ukimaliza aendelee kumeza dawa za kutuliza maumivu,mdogo mdogo patatanuka tu,kana gyno kakuhakikishia hakuna tatizo bhas bila shaka Fanya juhudi kuongeza njia,kiume.
 
Kama kichwa kinavyosomeka (Sorry nimeshindwa kuandika kwa kiswahili).

Huyu binti ana 30+yrs na hajawahi kufanya mapenzi (Sababu ni imani yake, no sex mpaka ndoa) sasa nimemuoa ni mwezi 1 sasa ila ndani ya ndoa hajawahi kupata penis penetration.

Kabla ya ndoa niliheshimu sikuwahi kushiriki nae hio kitu zaidi niliendelea na michepuko yangu mpaka siku ya ndoa ikafika ndo ikafungwa zen tukafly kwenda kwenye honeymoon ambayo niliiandaa kwa muda kidogo maana ilikuwa ni gharama kidogo sasa na nilifanya hvo ili kumfurahisha na kumpongeza kwa kujitunza.

Kwenye honeymoon sasa, mzee nafurahi leo naenda kufanya tendo la ndoa tena takatifu tena mbali kabisa na nyumbani ila hali ikawa tofauti.

Ikawa Nikigusa tu hymen anapata maumivu makali sana, kiasi cha kushindwa kuvumilia. she can’t handle the pain kabisa. Ikabidi nimkague mbona penis haiingii hata kama ni virgin sio kwa hali ile (Nishawahi kutoa bikra za wadada 3 before).

Ikabidi nianze kuangalia vzuri, baada ya kukagua sana nkagundua kwamba hakuna njia kabisa, papo flat kabisa ni kama ngozi ya kiganja.. je unaweza ukapenyeza penis afu ichane ngozi ya kiganja? Nilijiuliza, baada ya kuzoom vzuri nkaona kitundu kidogo sana sana. Ikabidi tuanze kuongea kwamba anapataje heshi, akasema huwa anaumwa sana na damu huwa inatoka kidogokidogo sana. Usiku ule uninishangaza sana, kabla ya ndoa nilijua kuutumia ubachelor ila sasa nmepatikana maana sijawahi kuona hali hii.

Back to me, sina penis hiivooo ni 6.5 inch kwa urefu na round ni 5.5 inch hata kama sio huge hvo how can it penetrate kwenye kitundu kidogo, nilitafakari usiku mzima.

Basi ilibidi kesho yake turudi home na akaende kuonana na gynecologist (private hospital) akafanyiwa vipimo akaonekana hana tatizo ndani (kwenye mfumo wa uzazi) ila juu ni hio tissue tu.. gyno akapitisha kidole kwenge kitobo kidogo sana ambayo ndio inayopitisha damu (hedhi). Wife alipatwa na maumivu sana na akaambiwa kwamba hana shida aendelee tu na just one kick patafunguka vzuri.

Alirudi anaumwa kabisa nadhani ni baada ya kuguswa juu kwenye kile kitobo,
What i did is to make her feel comfotable and relax.. zen nkaamua kujaribu and this time nkapush just one heavy kick kuona kama zoezi linaweza fanikiwa. Oooh gosh! Alisikia maumivu makali sana sana! I felt her pain too maana alilia sana sana na zoez halikufanikiwa. Kama mwanaume mwenye uchu sikuacha nilipambana sana ila katobo ni kadogo sana kama tundu la mkojo kwa sisi wanaume.

Tatizo nkaanza kuliona ni kubwa sasa Ikabd aende nation hospital akaonane na gynecologist hapo ni baada ya kujaribu mara nyingi sana bila kufanikiwa(najua huwez kunielewa ila kelele anazopiga ni kama anabakwa mpaka naamua kuacha maana unawezaje kumuumiza mke wako kiwango hicho).

Kule hospital wakasema hana tatizo, ila ni avumilie maumivu tu mpaka pachanike(tena gyno anasema “wewe mbona muoga hvo utaweza kuzaa kweli”). Sasa amekuwa so down, nkitaka kuingiza tu anatetemeka, anaanza kujuta kwa nn hakufanya hio michezo miaka yote hio nk.

Kama mke wangu namwonea huruma sana na amechoka na haya maumivu na mimi nime choka pia kumuumiza. Nikaanza kuchana na kidole, sasa kidole kidogo kikawa kinaingia ila ukijaribu kutanua ile tissue ya juu analia sana anaumia nimefanya hvo mara kadhaa ila bado japo kitombo kilianza kukua.

Bahati mbaya nipeta safari ya kikazi, ila soon narudi home nlimuomba picha nione kama bado yapo ka kile kitobo aisee ile picha inaonyesha pamefunga kabisa kama mwanzo (Usiniombe picha hahahah[emoji23]). Mke wangu ananisubiri kwa hamu sana. Naombeni ushauri tufanyeje na hii hymen? Je hili tatizo lipoje kuna aliyewahi kukutana nalo na je alifanyaje? Nashukuru kwa ushauri wenu matabibu
 
Ndugu yangu, mimi sijawahi hata kuchoma hio sindano na sina elimu ya kitabibu kabisa. Ila nilishawahi kuwa na hilo wazo japo ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…