She Makes Me Cry

To be able to overcome this;
->Revisit your faith both of you and think; do you really believe in that or are you forced to believe in that?

->Kama kweli faith is important to you guys, fikirieni what do you both believe in? kwa sababu I'm assuming mmefanana kwa kiasi fulani then you can sit and think. Mnaweza kuamua wote kushift na kufuata faith fulani, mmoja kumfuata mwenzie na haijalishi ni nani kwa sababu kama its true faith then it is independent of man.

->faith is your personal relationship with GOD na hakuna binadamu anayeweza kukuamualia, so mkishaamua simamieni maamuzi yenu kwa pamoja. Hii haitawasaidia hapa tu ila kwenye ndoa pia kwa sababu mkishakuwa na msimamo wa pamoja nothing can stand aganist you...
->Marriage is more than crying and love songs..IT is standing together in face of happiness and adversity
 
Safi sana.Kupenda raha sana..Gracious & irenerose.Gudluck..

LOVE IS ON THE AIR.
 

wanajamii,

Hivi ni sahihi kwa mwanamke/mwanamme alie kwenye mahusiano kumwambia mwenzie yy anatakwa na mtu mwengine? nionavyo si vema ni aina fulani ya kulazimisha kitu fulan.
Tena wote wakristo. go for her
 
Tatizo liko wapi wote ni wakristo
Haya mambo ya wazazi wazazi yashapitwa na wakati
Ndani ya mapenzi ni watu wawili tu
Tulio nje ni mashaidi..Kama masifa yote hayo anayo
Sioni tatizo..Kuwa na msimamo thabiti na binti aonyeshe msimamo kama yuko tayari kupigania penzi lenu...
 
Umenikumbusha kadhia ya binamu yangu mmoja. Babake muislamu mama mkristo. Binti kaleta mchumba baba akamtoa mbio manake ni mkristo. Binti akatoroka, kabeba mimba wakatuma wazee uncle ndo akakubali. Sasa shemeji hela zimemchanganyia kisawasawa. Kapata small house ya kikristo na wanataka kufunga ndoa. Binamu anahaha manake yeye hana ndoa zaidi ya posa (hata mahari haikulipwa). Wazazi saa zingine! Pole ndugu yangu!
 
Kwa vile ww unakuja na stories kila siku za mademu wanaokutaka, maex wanaokung'ang'ania na unaowafukuzia unadhani kila mtu anashiriki ligi yako? U shouldn't care manake hata kama anadanganya haiwezi kula kwako.
Duh!watu waongo humu..
 
Mimi nakushauri hivi kama wazazi wake hawakutaki achana naye, wacha kujidharaulisha usibabaike na samahani za wanawake, wengi tu wanaomba samahani kabla ya kuwaoa....ukisha owa utaona hata kama wamekosea huwa hawaombi samahani.
 

Wise beyond imagination,i like everything about you.Thanks for being that wiser.
 
Mimi nakushauri hivi kama wazazi wake hawakutaki achana naye, wacha kujidharaulisha usibabaike na samahani za wanawake, wengi tu wanaomba samahani kabla ya kuwaoa....ukisha owa utaona hata kama wamekosea huwa hawaombi samahani.
na kuna wanawake wazuri wa ku pretend jamani, ila kama yupo hivyo awezi kubadilika .
 
Mahaba ya dhati namna hii huwa hayarudi mara mbili, Mungu kampa kila mtu mara moja tu na utabaki unasimulia maisha yako yoe, kwamba alitokea binti mmoja ulimpenda sana ila hukuweza kuwa nae, fanya lolote unaloweza kufanya ndugu yangu maana unaweza juta na usifurahie tena mapenzi maisha yako yote.
IT IS JUST HAPpENeD ONCE
 
na kuna wanawake wazuri wa ku pretend jamani, ila kama yupo hivyo awezi kubadilika .
Kabisa kabisa, tatizo ni moja sio sababu ya kubadilika tu, vipi ukaowe mwanamke ambaye wazazi wake hawakupendi?

Ukisoma swali la mtoa mada anasema wazazi wake hawataki wawe na uhusiano, na kama huyo binti wazazi wake hawataki wawe na uhusiano naye....sidhani kama anaheshima kama anavyo dai mtoa mada.


Heshima inanza nyumbani, huyo ni wale wanao act tu, mana kama hawaombi samahani wazazi wake walio mzaa na hawasikilizi...vipi akaombe samahani kwa asiye mzaa...Inataka akili kugundua mtego huo.
 
Don't cry, you are a man afterall and at least you have a very nice headache.Washirikishe watu waliokuzidi umri,i don't think it is such a big headache.Lakini angalia usi create a big fuss kwani kama mambo yakija haribika huko mbele utaleta mfano mbaya.Keep in mind watu tunabadilka sana.
 

Nimependa hii BlackBerry lakini maisha sio mstari kwamba lazima upita palepale.Talking through experience indeed
 
Mimi nakushauri hivi kama wazazi wake hawakutaki achana naye, wacha kujidharaulisha usibabaike na samahani za wanawake, wengi tu wanaomba samahani kabla ya kuwaoa....ukisha owa utaona hata kama wamekosea huwa hawaombi samahani.
.

You'r right fazaa,life has taught me the same thing.
 

Kaunga,

I understand you correctly.Ni vizuri kukubali mgogoro mkubwa na wazazi? Kumbuka hatakua na baraka za wazazi kua na mimi.Should we force?
Okay,Naweza kubadili dini,Lakini wazazi wake are now far above dini.U know what,they want someone aliyekulia katika sabathism and i am not.Her family is the so called "Familia bora", its like they dont want me.Should i force,impregnant her now?
 

Inayoitwa ndoa Mseto sio? Lakini hapa ni kwamba wazazi wake wamempiga beat kutoshirikiana nae kwa lolote kama aking'ang'ania kuwa na mimi.Just pata picha am marrying her and her parents are not there
 

I think i have to do this,better tusielewane hata kwa miaka kadhaa lakini baadae watatupenda tu,we will do everything possible kuwa impress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…