She needs your romance, she needs your love

kuna wanawake wengine hawapendeki wanapenda mchaka mchaka ukishow then some love wana walk away..so kila mtu na style yake


Wale wa part time basis sio? Kama ni wale wa voda fasta sawa lakini mke uliyempenda na kumwoa akikataa kupendwa

then u must have made some mistakes sometimes back. Wrong choice
 
wengine bila hizo material needs wala hajakuelewa.... zipo nyumba mzee ukirudi nyumbani bila mshiko tu, hata tabasamu utalisikia tu redioni...

Lazima nikuulize dating ya kwanza uliifanya wapi! Maana kama ulimzoeshea pande za juu lazima aendelee kudai haki yake
 
Moja ya miziki niipendayo! Nimefurahi kuwa kuna mwingine ameuzimikia huu mziki: Buy Me A Rose - Kenny Rogers - YouTube


 
Kumbe ndo maana my love Kaunga ananizimia sanaee!
 
Upendo ni zaidi ya ngono. Ndivyo ilivyo. Unaweza hata kuinunua kwa buku mbili, lakini kwamwe sio mapenzi ya kweli. Haina maana sana kujipanga kukuruka kunako 6 kwa 6 kama

tuu kumjali na kumwonesha upendo unashindwa! Hebu give her a good sweet day and see how she will return a good sweet night!
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…