She says she is Unhappy!


...hapo ndipo tofauti ya wanawake na wanaume inapoanzia...MISINTEPRETATION.

Mamsap wako emotional support. Lazima anasumbuliwa na compassion fatigue/emotional drained baada ya kukupa mapenzi yake yote katika miaka hiyo yote mliokaa pamoja na sasa kama ulivyosema, amnaanza kufikiria ndoa!

Huu ni wakati wako ku recharge battery zake upya. Mpe mahaba motomoto kama awali ulipokuwa unamuweka kwenye himaya yako. Mkumbatie na kumsikiliza kilio chake, ongea nae kwa upole, msikilize... hata kama hana la kusema kumkumbatia tu ni ishara tosha kumuonyesha upo naye kimwili... Kuwa naye karibu, mhakikishie upo kwa ajili yake wakati wowote...

Emotional happy spouse completes the happiness circle.
 

mi nafikiri zungumza nae kuwa muachane kwa mda ili mpeane nafasi ya kutafakari.....hisia zenu.....halafu kama ni wako mtarudiana na kufunga ndoa....kama sio wako basi achaneni kistaarabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…