Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
biti za laki laki...hahaaHizo zote amezipata kwa hizi biti za laki laki?
Wabongo wengi Wana roho ya kichawi.Kwa wabongo wengi hii taarifa sio nzuri kwao
Akudanganye hili iweje? Usizani kila mtu Ni sepengaiwe kweli tu isije ikawa anaongea kufurahisha watu au "show off" za mjini... ataumbuka vibaya amuulize sepenga
Semanga hv rip classmateRest in Peace