Wanacuf mmeanza si mmekubali yaishe sasa tena chokochoko za nini.Kwa kweli kulikuwa hakuna Uchaguzi ,saa ingine utabiri inabidi uuangalie kwa kina ,ukiangalia mtokeo ya Uchaguzi na yaliyotangazwa ,kwa weli yaliyotangazwa ni mengine kwa maana hiyo uchaguzi haukuwepo ,Yaliyotokea Zanzibar yameanza kuLEAK na habari zipo mitaani ,hapa tumeona Slaa hakwenda wala kukaribia maeneo ya matangazo na hajulikani alipo.
Hivyo wandugu tukubalianeni kuwa uchaguzi haukuwepo kilichofanyika ni kiini baridi
Zanzibar ni long story and big issue kwani kukubali kwa Seif ni pigo jingine kwa wahafidhina ambao tegemeo lao lilikuwa Seif apinge ila Seif amruka kiunzi hicho na sasa ni kazi kwa kwenda mbele ,kumbukeni tu kuna watu wakipinga juhudi za Karume Seif na Kikwete ,muulizeni Mwanakijiji nasikia alikuwepo huko baada ya kuwasili Mwinyi na Mkapa saa nane za usiku.:hippie:Wanacuf mmeanza si mmekubali yaishe sasa tena chokochoko za nini.
Zanzibar ni long story and big issue kwani kukubali kwa Seif ni pigo jingine kwa wahafidhina ambao tegemeo lao lilikuwa Seif apinge ila Seif amruka kiunzi hicho na sasa ni kazi kwa kwenda mbele ,kumbukeni tu kuna watu wakipinga juhudi za Karume Seif na Kikwete ,muulizeni Mwanakijiji nasikia alikuwepo huko baada ya kuwasili Mwinyi na Mkapa saa nane za usiku.:hippie: