Hamjambo.
Mimi ni mstaafu na ninataka kupata "resident permit" kwa mara ya pili (renew) lakini ninalazimishwa kupata barua ya sheha.
Ninataka kujua kujua sheria gani sheha anaweza kukataa kuandika barua hii au kumzuia mtu ahamie shehia yake?
Si lazima atoe sababu maalum? Kwa mfano wizi, uuaji, ujambazi, n.k. Ingawa hapa ninapoishi pamejaa na wizi!
Asanteni sana