wewe uwe mwangalifu, sitakusaidia, si unajua tena wakikuua wanaenda peponi? huko wanawakuta wanawake bikra 7! be careful!
Hivi kijana unazijua hukumu za Kikiristu ?Na hasa hiyo ya kuuwa ? Wanaoifuata bible watamalizikia na kubaki kwenye madhambi,kwani kila kitu chao kinaongozwa wanakuwa guided na shetani,hawana mahubiri isipokuwa shetani au pepo,wakiristu wanaambiwa kila wanachokifanya ni dhambi,wamezungulukwa na madhambi na hawawezi kuepuka adhabu za motoni mpaka wamfuate mungu wao wa uwongo ambaye alitolewa baru na Mfalme Herodi na pia alijibu M/Mungu tu ndie anaejua siku ya kiama.
Ila kwa kuwakumbusha tu someni hapa :-
1- Mark 10:18 Jesus said
And Jesus said to him, Why do you call me good? No one is good but
GOD alone.
2- John 14:28 Jesus said "BABA MUNGU ndie mkubwa kuliko mimi"
3- John 8:28 Jesus said "I do
nothing of myself"
4- Matthew 24:36 Jesus said "No one knows about that day or hour, not even the angels in heaven, nor the Son, but
only the Father." Jamani inakuwaje hapa ?
mambo ya ngono na bibilia nimeyahifazi maana ni makubwa sana hapa si pahala pake,kwani wengine wanaweza kufunguka na kuona mwanga ila wengine hawapendi na sheria za hapa zinatubana wengine na kuwapa uhuru wengine hivyo nitajaribu kwenda hivyo hivyo.
Song of Songs 8:1-3 "If only you were to me like a brother, who was nursed at my mother's breasts! Then, if I found you outside, I would kiss you, and no one would despise me. I would lead you and bring you to my mother's house-- she who has taught me. I would give you spiced wine to drink [i.e !| !], the nectar of my pomegranates. His left arm is under my head and his right arm embraces me."
Halafu mnasema mnafundishana nyimbo kuna nyimbo hapo,unamwaga mijineno kama hiyo kwa vijana na watoto wa kike na mijimama na mijibaba , mwisho unawambia msitie wasi hata kama mmefanya mtaokoka ,kuna salama hapo ,padire analainisha kwa nyimbo za manyimbo Kwa kimombo zinaitwa Song of Songs mwisho anawambia haya sasa vueni nguo nyote ili sikio la tatu lipate kusikia,au hayakutokea haya hapa Tanzania ? Nataka jibu !! Demu mmoja akang'aka ndo dini yenyewe hii ? Ikabidi avujishe habari .
Song of Solomon 8:10 "Dear brothers, I'm a walled-in ? still, but my breasts are full And when my lover sees me, he knows he'll soon be satisfied."Dada anamwambia kaka yake hapo, mchezo gani huu mnafundishana kanisani sehemu mnayoiita takatifu ,haya ni kati ya hayo yaliowafanya muwavue magauni wanawake ndani ya kanisa,yametokea Tanzania na kila mtu anajua.
Tatizo mnaona na kurushia mawe Wailamu wote mpaka mnafika mbali sana mnasahau kuwa bibilia (bibi lia)inaeneza na kusambaza na kufundisha na uasherati hata kufikia kwenye public areas watu waweze uroda au uongo ? Hamna mafundisho hayo kwenye Bible ? Kitabu gani hiki kinachopotosha watu kama sio michomekeo ili wapate kulana uroda kirahisi just wanawake wanaambiwa vueni nguo na wao wote wanavua na kubaki kama walivyozaliwa kisha kasisi anakunjua mikono na mmoja mmoja anaenda kumkumbatia kwa tamaa atapajibiwa maombi yake ,ukienda kwenye zile makundi za wakiristu yaliyofumuka siku hizi kule Ulaya ndio kabisa wao wanafundishana mpaka kila kitu yaani imekuwa fujo mitaani ,ngono nje nje dini gani hii inayofundisha mambo haya ambayo sio siri ni kitu kinafundishwa open,wala hakuna kujificha wala aibu,kila tunapozidi kuishi na miaka inavyoongezeka ndipo ukiristo unapozidi kuonekana rangi zake.