Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Someni wenyewe hapo chini:
''Ndugu zetu wa damu wanajua wao kila jini ni shetani, kumbe kuna majini wengine waumini na wacha Mungu. na anasema mwenyezi Mungu (Sikuwaumba majini na wanadamu isipokuwa wapate kuniabudia mimi) kwahiyo siyo kila jini ni shetani ijapokuwa shetani mkubwa anatokana na majini (Ibilisi)
"Ndugu zetu wa damu wao kosa lao ni kudhania kila jini ni shetani, shetani hata binadamu wako mashetani. shetani ni yule mwenye kutia wasiwasi vifuani mwa watu. Shetani maana yake ni mtu yeyote muovu''
Sheikh Kipozeo