Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Bahati mbaya zaidi halijawahi kudondokajasho la mtu wa peponi tone moja likidondoka katika ardhi hii dunia nzima itanukia manukato ya ajabu
Sheikh yuko sahihi
Huyo Ni mke wa 3 wa sheikh kipozeoFaizaFoxy atabisha
Dini zina stori za kitaahira sana😂.Wadau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu hapo chini:
PEPONI HAMNA KUJISAIDIA-SHEIKH KIPOZEO
''Peponi hamna kujisaidia, kujisaidia kwake ni kutokwa na jasho. Na jasho la mtu wa peponi tone moja likidondoka katika ardhi hii dunia nzima itanukia manukato ya ajabu kabisa, yaani Mungu kafanya ufundi kutengeneza pepo'' - Sheikh Kipozeo akihojiwa na EATV
Majin ni Wale Malaika waliohasi- ( Ufunuo 12:7-9) So akuna jini mwema wote ni Waovu mbele ya Mungu wa Isaka na Yakobo alie pia Mungu wa Ibrahim...... Kwa kuwa MUNGU wa Wakristo Sio Mungu wa Waislam (