johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Habari ya asubuhiShehe Kundecha alichangia muswada wa sheria za Uchaguzi anasema alishangaa kumsikia mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakat huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mgombea wa upinzani atakayeshinda Udiwani wala Ubunge
Kundecha akasema alipowauliza Tume ya Uchaguzi kuwa RC huyo watamchukulia hatua gani NEC wakamjibu hawawezi kumchukulia hatua zozote bila Wananchi Kulalamika
Mlale Unono [emoji3][emoji3][emoji91]
Inamaana kundecha hakuwa mwananchi?Shehe Kundecha alichangia muswada wa sheria za Uchaguzi anasema alishangaa kumsikia mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakat huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mgombea wa upinzani atakayeshinda Udiwani wala Ubunge
Kundecha akasema alipowauliza Tume ya Uchaguzi kuwa RC huyo watamchukulia hatua gani NEC wakamjibu hawawezi kumchukulia hatua zozote bila Wananchi Kulalamika
Mlale Unono πππ₯
Mkuu wa mkoa alikuwa sahihi, sasa kama mkoani kwake hakuna mpinzani mwenye dalili ya kushinda na wala hakuna mwananchi wa kulalamika hawezi kuchukuliwa hatua zozote.Shehe Kundecha alichangia muswada wa sheria za Uchaguzi anasema alishangaa kumsikia mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakat huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mgombea wa upinzani atakayeshinda Udiwani wala Ubunge
Kundecha akasema alipowauliza Tume ya Uchaguzi kuwa RC huyo watamchukulia hatua gani NEC wakamjibu hawawezi kumchukulia hatua zozote bila Wananchi Kulalamika
Mlale Unono πππ₯
Kundecha aliuoliza swali, hakulalamika.Inamaana kundecha hakuwa mwananchi?
Alikuwa sahihi maana wapinzani hata hawaelewwiki zaidi ya kulilia democracy wasioienziMkuu wa mkoa alikuwa sahihi, sasa kama mkoani kwake hakuna mpinzani mwenye dalili ya kushinda na wala hakuna mwananchi wa kulalamika hawezi kuchukuliwa hatua zozote.
Hata hivyo tume ya uchaguzi haiteuwi wakuu wa mikoa.